Hivi tukisema muache utakubali? anyway hayo ndio maisha ya mapenzi, ni bora amekuonesha mapema hizo dalili za jeuri na kiburi sasa maamuzi unayo mwenyewe kama utaweza kuvumilia hizo tabia kwa maisha yako yote endelea naye ila kama unaona kabisa huwezi ni bora ubadili mawazo
Failure= few error in judgment repeats everyday, usije ukadharau tabia ndogondogo kwan baada ya muda ni majanga tupu
So be careful kaka ni bora kuvunja uchumbay sio ndoa
Bado sakayonsi style....
wewe unao wangapi na yule kijeba Wako??
Ungekuwa Hujaolewa Hakika ningekuomba japo kwa Siku.. Na Hiyo Ya Kufanyia ndani ya Friji ndio ninayoitaka
inawezekana mkuu ila imenibidi niwe makini mno na hawa viumbe inawezekana vipi mtu kwa miaka 9 mfululizo afiche tabia yake halisi?!
Huyo kapata mwalimu ambae amemfundisha kuwa hizo ndio tabia anazotakiwa kuwa nazo mwanamke mjanja na makini. Amefundishwa kuwa upole wake ni tatizo hivyo abadilike na kukuonyesha kuwa yeye.sio zuzu. Nachelea kusema wanaomtrain hawamtakii mema na nia yao ni kumfanya akukere ili upoteze apetite umtapike na mipango ya ndoa ife ila yeye kwa vile ni zuzu anafuata ushauri wote anaopewa hata kama ni wa kijinga. Mpige chini kwa muda na utajua kinachomfanya awe hivyo. Utasikia mwajuma ndio alinidanganya na blah blah kibao.
Kuna uwezekano wenzie wamekuwa wakiona jinsi unavyoshinda mapambano yanayotokea baina yenu na sasa wanayatumia dhidi ya uhusiano wenu kwa kumshawishi kuwa umekuwa ukimuonea kwa vile yeye ni mpole hivyo abadilike.
Muache kwa muda kidogo aone kama training yake ilimfaa au alipotea.
nashukuru kwa ushauri mkuu ila wasiwasi wangu isije kuwa ana kijamaa kingine alafu nikampa likizo ikawa moja kwa moja hawa viumbe nao kama simu za kichina
Miaka 9 duh si mshamaliza styles zote?!
Miaka 9 duh si mshamaliza styles zote?!
hayo mambo mengine ni ya ndani zaidi mkuu...ila kwa kifupi kachoropoa mimba 3...ya kwanza akiwa form 3
wengine wanapatikana tena wapo kibao tatizo mazoea tu