Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

Abiria chunga mzigo wako anachofanya ni swala la wivu coz anauhakika ww ndio mumewe so lazima akuchunge kwahiyo na ww inabidi umwonesha kuwa yupo pekee yake la sivyo hiyo tabia haitokwisha
 
Mimi hapokei simu yangu nimemtolea posa na mahari, lakini wiki sasa inaisha kila nikipiga hapokei na wala hanitafuti tena!
 
aiseee na wewe wiki nzima bado upo kimya ujafanya juhudi zozote!!!!?
 
Abiria chunga mzigo wako anachofanya ni swala la wivu coz anauhakika ww ndio mumewe so lazima akuchunge kwahiyo na ww inabidi umwonesha kuwa yupo pekee yake la sivyo hiyo tabia haitokwisha

nitajitaidi mkuu kumpetipeti
 
Hapo balaa kimbia mapema ni bora kuvunja uchumba kuliko ndoa, fikiri Hapo umepeleka posa kawa hivyo, ukioa je...atakunyea kichwani
 
Back
Top Bottom