Kuna binti ninamfahamu boyfriend alimpiga chini baada ya matokeo ya form four dada kulamba IV ya heshima na mkaka alijipatia two yake safi akaenda five and six. Basi bi dada kwa hasira aliolewa eti amuumize jamaa.
Tena nyumbani alipombiwa wewe bado mdogo una muda wa kunyosha maisha kwanza, alitishia kunywa sumu.Akili za kitoto bana, shida sana! Kwa umri walionao, hata kama wangeendeleza uhusiano; uwezekano wa wao kuoana bado ungekuwa ni mdogo sana. Kwa hiyo na miaka yake 18/19 kaamua kuolewa ili kumkomoa teenager mwenzake, mbona ni kichekesho!
Tena nyumbani alipambiwa wewe bado mdogo una muda wa kunyosha maisha kwanza, alitishia kunywa sumu.
Shida yake ilikuwa jamaa amuone amevaa gauni leupe anatoka kanisani.Dunia itamfunza tu hii! Hasa pale atakapoiona imevaa bukta ikitroti! Ila huo ndio umri wa kuharikiwa maisha kwa walio wengi! Sawa na vi teenager vyetu huku, kila ukikaambia kitu basi kana majibu yote; I know dad!
Hapo ndio patamu.utakula kiroho safi mkuu bila garama.
Shida yake ilikuwa jamaa amuone amevaa gauni leupe anatoka kanisani.