mchumba wangu ataongeza mke wa pili

mchumba wangu ataongeza mke wa pili

We dada Naomba unijibu hili swali! Samahani Lkn kwenu mnalaliaga uji!?
 
Sasa unatakaje dada yetu, wakati imani yako inaruhusu!!?
Kama unataka wako na wako pekee basi olewa na mtu ambaye hana tamaa ya wake wawili, au mtu wa imani isiyoruhusu wake wawili
 
Khaa! Mi nilijua na wewe Muislam!
Ok! Usijiumize dada yangu, bila shaka mtafunga ndoa ya serikali, usijari, hatakama yy ni Muislamu, kule ni lazima iandikwe kama itakua ~POLYGAMY or MONOGAMY~ na ww ni lazima usain au ukatae kusain, ukikataa kusain mambo mawili yanahusika, ndoa isifungwe au ifungwe unavyotaka wewe! Ikifungwa unavyotaka wewe uko salama, isipofungwa vitu viwili vinahusika, uzizuie hisia zako za kumpenda au uumie kwa kukosa penzi lake, ukizuia hisia zako ukosalama, ukiumia kwa kukosa penzi lake vitu viwili vinahusika, ujinyonge au ukubali uke wenza, ukikubali uke wenza uko salama, ukijinyonga IMEKULA KWAKO.....!
Kila la heri.

bascket mouth
 
Naumia sana.wiki mbili zijazo ntafunga ndoa na mchumba wangu lakini leo ameniambia kua baada ya mwaka kuisha ataongeza mke wa pili yaani tuwe wawili mm na mke mwenzangu mbaya zaidi et tutaishi nyumba mmoja !!!!mimi nitakua mke mkubwa lakin yule mwenzangu atakae letwa atakua mke wa pili yaani roho inaniuma sana hata kama imani ya dini inaruhusu hivo mm nashindwa kukubaliana nae?naombeni mchango wetu hapa nipo na mawazo ya kuvunja huu uchumba na nikiangalia taratibu zote za ndoa zimefanyika je nifanye nn?nikatae au nikubali?maana hili swala ameniambia baada ya kuvaa pete ya uchumba na family zote wanajua?je niwahi kwa ostazi atakae funga ndo kutoa taarifa au nifanye nn?uke wenza siwezi
Hawatakua radhi mayaudi na manaswala mpaka mfate mila zao,na ikiwa mtafanya hivyo mtakua mmeshaingia katika mtihati!
 
kwenye ndoa ya ki islam mwanamke hana haki...na mafundisho wayajua sasa unatakaje hapa?
 
Sasa unatakaje dada yetu, wakati imani yako inaruhusu!!?
Kama unataka wako na wako pekee basi olewa na mtu ambaye hana tamaa ya wake wawili, au mtu wa imani isiyoruhusu wake wawili

Sawa asante
 
Naumia sana.wiki mbili zijazo ntafunga ndoa na mchumba wangu lakini leo ameniambia kua baada ya mwaka kuisha ataongeza mke wa pili yaani tuwe wawili mm na mke mwenzangu mbaya zaidi et tutaishi nyumba mmoja !!!!mimi nitakua mke mkubwa lakin yule mwenzangu atakae letwa atakua mke wa pili yaani roho inaniuma sana hata kama imani ya dini inaruhusu hivo mm nashindwa kukubaliana nae?naombeni mchango wetu hapa nipo na mawazo ya kuvunja huu uchumba na nikiangalia taratibu zote za ndoa zimefanyika je nifanye nn?nikatae au nikubali?maana hili swala ameniambia baada ya kuvaa pete ya uchumba na family zote wanajua?je niwahi kwa ostazi atakae funga ndo kutoa taarifa au nifanye nn?uke wenza siwezi

Acha uchoyo we unataka umiliki mtarimbo wewe mwenyewe peke yako
 
Unaogopa kuvunja uchumba wakati wenzio wanavunja na ndoa kabisa kama wanaona hawaenjoy? Sasa ya nini kuingia huku unaumia. Ndoa unatakiwa ufurahie na kwa muda uliobaki ungekuwa unatamani tu huo muda ufike. Kimbilia kwa shehe mapema. Ipi bora ugharamike kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu ya kuvunj uchumba au ugharamike maisha yako kwa kuishi kwenye ndoa ambayo haufurahïi
 
mi naona bora huyo jamaa ataamua kumtambulisha kwako
maana wengi wao siku hizi wanatamani nao iman yao ingewaruhusu lkn ndo hvyo tena
mke unaishia kuzungukwa bila we kujua mwisho wa siku anakuletea magonjwa ndani
bora huyo ambae anakuleletea mwenzio ili umtambue!
 
Sawa asante

Yah, maana ukishaolewa nae basi umeenda upande wake, ameshaonyesha lengo na ninaamini atalitimiza.
Hata ukisaini MONOGAMY, kama akikiuka suluhu yako ni kuachika, sasa ya nn mfike mbali huko (pengine wakati huo una watoto) ili hali tatizo umeliona mapema!?
Olewa na mtu ambae hatakuweka njia panda
 
Unaogopa kuvunja uchumba wakati wenzio wanavunja na ndoa kabisa kama wanaona hawaenjoy? Sasa ya nini kuingia huku unaumia. Ndoa unatakiwa ufurahie na kwa muda uliobaki ungekuwa unatamani tu huo muda ufike. Kimbilia kwa shehe mapema. Ipi bora ugharamike kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu ya kuvunj uchumba au ugharamike maisha yako kwa kuishi kwenye ndoa ambayo haufurahïi

bora useme wewe!2kisema cye ataona twamuonea wivu! Ila ningekuwa miye loh faastaa kwa ostaaaz jumaaa! Yan nalala usiku afu najua kabisaa leo dushelele langu lipo chumba jirani limekamatiwa loh ntahesabu paa tu!
 
Hapo ndo pagumu kabsaaa kuskia miguno chumba cha pili
 
Back
Top Bottom