mchumba wangu ataongeza mke wa pili

mchumba wangu ataongeza mke wa pili

hongera sana.....huyo ndo mume mkweli...........si afadhali akuongezee mwenzio kuliko awe na hawara aka kimada,,...............!!!!!!!!!!!

Bora awe nyumba ya mbal kuliko akiwa hom mmoja
 
M christian yy iman yake ndio inamruhusu

Kila dini ina utaratibu wake:Mbona kwenye mada hukuweka wazi kua ww na mchumba wako mna imani tofauti?Kwenye Mada kunaonesha wote wawili mna imani moja,ni Waislam; Huku unabadilisha,oh.mm mkristo.Kama mna imani tofauti mbona mmeshamkwaza Ostazi,kitakachofuata hapo Ostaz hatofungisha ndoa na atawafukuzeni tu ili mkajipange upya kwenye suala la imani/dini.

Mwanamke wa kiislam atakasirika pale tu atakapoletewa mke wa tano,Hapo ndo utajua hasira za mwanamke wa kiislam..Hiyo timu ya wake 4 itakua wamoja na mtiti wake atakaoupata mume atajuta kuzaliwa.

Ktk imani ya Kiislam mwanaume akitaka kuoa mke wa pili,Uamuzi wa kuoa sio lazima amweleze/amshirikishe mke wake wa kwanza,(kutoa taarifa ni hiari ya mwanaume).Mke wa kwanza anaweza akapewa taarifa tu wakati jamaa ameshaoa;na huyo mke wa kwanza hana haki yoyote ya kukasirika au kuhoji kisheria,ila kama ana yake moyoni atatakiwa kuongea/kumuuliza mumewe kimapenzi wakiwa ndani ili kujua zaidi.Alikutaarifu kua baada ya mda ataoa mke wa pili kwa vile alishaamini kua wewe umeshabadili dini na unaelewa mafunzo ya kiislam,(na unaendelea kujifunza) ungekua ni mwanamke wa kiislam tokea zamani wala asingekueleza maana angejua unaelewa kila kitu.
 
kwa nini anataka kuongeza mke wa pili?
 
Bora awe nyumba ya mbal kuliko akiwa hom mmoja

Okey nw i get da point......kwahyo issue si uke wenza bali msiishi nyumba moja!!!!
Inawezekana kuish tofaut ila itategemea kipato cha huzblueband.Mshaur sasa hilo huyo mtarajiwa then uone atakavyolijibu.
 
Hataki kabica
 
Kila dini ina utaratibu wake:Mbona kwenye mada hukuweka wazi kua ww na mchumba wako mna imani tofauti?Kwenye Mada kunaonesha wote wawili mna imani moja,ni Waislam; Huku unabadilisha,oh.mm mkristo.Kama mna imani tofauti mbona mmeshamkwaza Ostazi,kitakachofuata hapo Ostaz hatofungisha ndoa na atawafukuzeni tu ili mkajipange upya kwenye suala la imani/dini.

Mwanamke wa kiislam atakasirika pale tu atakapoletewa mke wa tano,Hapo ndo utajua hasira za mwanamke wa kiislam..Hiyo timu ya wake 4 itakua wamoja na mtiti wake atakaoupata mume atajuta kuzaliwa.

Ktk imani ya Kiislam mwanaume akitaka kuoa mke wa pili,Uamuzi wa kuoa sio lazima amweleze/amshirikishe mke wake wa kwanza,(kutoa taarifa ni hiari ya mwanaume).Mke wa kwanza anaweza akapewa taarifa tu wakati jamaa ameshaoa;na huyo mke wa kwanza hana haki yoyote ya kukasirika au kuhoji kisheria,ila kama ana yake moyoni atatakiwa kuongea/kumuuliza mumewe kimapenzi wakiwa ndani ili kujua zaidi.Alikutaarifu kua baada ya mda ataoa mke wa pili kwa vile alishaamini kua wewe umeshabadili dini na unaelewa mafunzo ya kiislam,(na unaendelea kujifunza) ungekua ni mwanamke wa kiislam tokea zamani wala asingekueleza maana angejua unaelewa kila kitu.

sawa nimekuelewa!nilisahau kuandika din yang
 
Kwanza hakuna ostadh anaefungisha ndoa iman tofauti,anachotaka kufanya mumeo mtarajiwa ni hiki,ataoa mke muislamu afunge nae ndoa then mwezi kama huu hatokuja kwako kwani hairuhusiwi kupikiwa na mke ambaye huna ndoa nae ya ki imani,ushauri wangu mtafute huyo mwenzako mwambie mapema kua hutaweza uke wenza kama alivyofanya yeye usije ukalia zaidi thn akupe sababu ya yeye kufanya hivyo asisingizie iman,ukishindwa tafuta hata ndugu wa karibu muyazungumze mapema kwani nijuavyo mimi mwaka mmoja kwenye ndoa mapenzi yanakua moto moto then yeye ndo akaoe uanze misukosuko mapema chukua hatua wakati unao.
 
Back
Top Bottom