Mchumba wangu anataka mahusiano ya siri

Uwii yaan mtu akiniambia tu siri akili inaruka
Angekuwa presida,waziri au public figure kweli unaweza weka siri maana ni ana mie pia asichafuliwe,sasa
 
Uwii yaan mtu akiniambia tu siri akili inaruka
Angekuwa presida,waziri au public figure kweli unaweza weka siri maana ni ana mie pia asichafuliwe,sasa

Hao pia hawana haja ya kufanya siri? Achafuliwe kwa kuoa jamani?

Siri mwishowe unakuta mko wake 5 msiojuana.

Kuna mchangiaji hapo juu kama nimepata mzungu, kwa hao wazungu wanafanya ndoa siri?

Nakubali mi mswahili ila sitaki sherehe, sitaki mchango, sitaki shamra shamra wala hata kigelegele. Lakini nahitaji umati ujue huyu bwana ni mume wangu, sio boyfriend wala hawara.

Sitaki kumrusha mtu roho, ila nataka huko kazini kwake wajue kaoa wampr heshima yake nae ajiheshimu kama mume.

Likewise on my end.
 
Alisema haolewi mbona kaolewa x 2
Inaonekana walikua wanakwambia hivyo sasa unataka kuwatambia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1476] Joking

You better joke, yasikie tu usiombe yakukute.
 
Hivi unadhani kazini kwangu wote wanajua nimeoa!?
Au mke wangu wanajua wote kuwa kaolewa!?
Kuna Mambo mnapenda kutangaza kumbe mnajiongezea maadui.
Kwa uzoefu wangu miaka kadhaa tangu nimeanza kuvaa Pete ya ndoa niliwapata na kuwatafuna wadada kibao.!!
Wengi walikuwa wanapenda mtu wa kujiegesha tu. Hawataki bugudha za kugandana.
Bahati mbaya Pete yangu iliibiwa na sijanunua Tena.
Wadada wengi wananiona Kama muhuni Fulani ambaye umri umeenda Ila sijielewi!!
Yaani Kuna mtu anakuambia kabisa "sitaki mtu ambaye hajaoa"
Kuanza kujieleza unaona aibu Tena.
 

Noted with thanks.
 
Wewe unataka ndoa na kuishi na mume wako au unataka matangazo?,hebu tuanzie kwanza hapa
 
Wewe unataka ndoa na kuishi na mume wako au unataka matangazo?,hebu tuanzie kwanza hapa

Nataka ndoa, kuishi maisha ya ndoa. Ndoa isiyo ya siri. Ukimada, uhawara ndio hufanywa siri kwa vile haujahalalishwa.

Halali inakuaje siri ndugu zanguni?
 
Unafichwa kama sehemu za siri, kuna Bomu mbele,

So na wazazi wako hawajui?mahari alikupa wewe?
 
Noted with thanks.
Huyo mwanaume ameoa, Mke yupo nje ya nchi au mkoa mbali na wewe, kuna baadhi ya watu wachache wanajua, ndio maana anataka iwe siri, na huyo mtoto wake ni wa mwanamke mwingine tofauti na huyo Mke wake ambae yupo mbali utajuaga baadae

Alitoa mahari so na mama yako hajawambia mashoga zake?😂😂😂😂 Hakuna siri hapo Dada zako nao wana mashoga, ambayo ndio sisi taarifa tutazisambaza😀 subiri uone😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…