Mchumba wangu ananitesa jamani

Mchumba wangu ananitesa jamani

Kw cfa ulizoziandka atakua yko na dem wng maana mm mwenywe dem wng cimuelew kabadilika
Co km zaman,Na npgiwa cm na mdgo wng akaniambia anamwna na m2 mwngne wakitokea guest....
 
habari hizi wadogo zangu nawashauri muwe mnazipeleka kwenye yale magazeti yenu ya uduku sijui udaku,
not here,au mnataka na sisi huku JF tuseme
''TUMECHOKA SASA...MKIENDELEA TUTAWAPIGA TU........[BAN]

Nahisi wewe ni mgeni humu ndani, utapigwa bana usipoangalia!
 
Nikuulize tu kirafiki, Alionja???? Kama alionja, uso wake ulielekea wapi baada?? We mwenyewe unayo majibu. Unajibeba mwenyewe mpaka AR. Jamaa mwenyewe anakaa bweni, unaenda kumlipia guest, halafu,,,,,haifai. Ulitegemea nini zaidi. Nimemsaidia kukuambia "Humfai".
Angekukuta "Nta" angekuheshimu sana lakini alichokikuta kwako amemshukuru mzimu wa bibi yake mzaa babake kwa kukufunua.
Sory sina lugha laini ya kinafiki. Habari ndio hiyo.
 
ushauri wangu ni huu''aliyepoteza mchumba hajawahi kupewa jina jipya lakini anayepoteza mme hupewa jina jipya''Huenda kuna kitu Mungu anakuepusha,usijaribu kulazimisha yakakukuta makubwa.Tulia Kama ni wako Mungu atamrejesha,kama siyo ataenda zake tu.na Mungu atakupa wa kwako wa kufanana naye.Familia haitakuwa na msaada ukiingia mahusiano yatakayokufanya ujute kila siku mbali na kukuambia ''POLE JIKAZE,NDOA NI UVUMILIVU'' ni heri wakuseme kwa sasa lakini uje kupata wa kukufaa na kukaa salama bila majuto.
 
Wana JF naombeni msada wenu nifanye nini, mchumba wangu niliyempenda sana, ghafla kakata mawasiliano na mimi nikimpigia cm hapokei sms hajibu na hakuna chochote kibaya nilichomfanyia, kibaya zaidi anafahamika kwenye familia yangu, ofcn kwangu mpaka marafiki wote wanajua nilikuwa na mahusiana nae sasa najiuliza ntawambia nini hasa familia make tayari nshamtambulisha nahc ntaonekana cjatulia hasa kwa wazazi wangu, huyu jamaa alifanya nikarisk kazi yangu nikawa naaga naenda kumuona mdogo wangu kumbe naenda arusha kumuuona yeye by that tym alikuwa anafanya masters yake pale nelson mandela kwa sasa kamaliza yupo dar sina mawasiliano nae anachoanya cjui na hata ikitokea nimepiga cm akipokea ananijibu kwa hasira as if tumegombana yani jamani naumia sana na nilimpenda kwa dhati na yeye analijua lkn cjui ni shetani gani kampata,.
Naombeni ushauri wenu jamani,..

pole sana aisee,just be patient naye,nawe sasa kaa kimya usimtafute kwa njia yoyote ile(inaweza kua ngumu kwako lakini ndio only option iliyopo),,,,kwa ukimya wako atauona tena uthamani wako na ughali(hw worthy and costly you are) wako......kama ni wako atarealiza na kuapologize kama si wako let go of him labda hana thamani ya upendo wako!
 
Wana JF naombeni msada wenu nifanye nini, mchumba wangu niliyempenda sana, ghafla kakata mawasiliano na mimi nikimpigia cm hapokei sms hajibu na hakuna chochote kibaya nilichomfanyia, kibaya zaidi anafahamika kwenye familia yangu, ofcn kwangu mpaka marafiki wote wanajua nilikuwa na mahusiana nae sasa najiuliza ntawambia nini hasa familia make tayari nshamtambulisha nahc ntaonekana cjatulia hasa kwa wazazi wangu, huyu jamaa alifanya nikarisk kazi yangu nikawa naaga naenda kumuona mdogo wangu kumbe naenda arusha kumuuona yeye by that tym alikuwa anafanya masters yake pale nelson mandela kwa sasa kamaliza yupo dar sina mawasiliano nae anachoanya cjui na hata ikitokea nimepiga cm akipokea ananijibu kwa hasira as if tumegombana yani jamani naumia sana na nilimpenda kwa dhati na yeye analijua lkn cjui ni shetani gani kampata,.
Naombeni ushauri wenu jamani,..

you dont need to wory dada yangu, pole and just relax

mapenzi sio mateso! wala yasikuumize kichwa, i know ulipenda, but usijali wewe ni mwanamke, mmoja anapokuona humfai mwingine anakuaona unafaa, anakuona lulu na dhahabu kwake, cha msingi ni kujifunza kutoka kwa makosa au nyuma, wengi wanatamani kupata nafasi ulompatia huyo lakini hawapati. cha msingi pia ni uvumilivu na kumwomba mungu, jieshimu na jikabidhi kwake utapata mwingine utamsahau, na kama anakupenda atakutafuta na utumie wakati huo kutompa nafasi yakukuchezea.

kuwa mwanamke jasiri na mwenyemsimamo na usionyeshe kuteteleka na kitu mapenzi,

kwa muda huu usipende kuangalia movie zenye story ya mapenzi lakini movie za action, comedy zitakufanya umsahau.
 
pole haya yapo kila sehemu ni baadhi tu wanakaa bila kuchuniana. mwache kama 1week bila kumtext au kupiga ukiona kimya jua ana lake jambo.
 
Wana JF naombeni msada wenu nifanye nini, mchumba wangu niliyempenda sana, ghafla kakata mawasiliano na mimi nikimpigia cm hapokei sms hajibu na hakuna chochote kibaya nilichomfanyia, kibaya zaidi anafahamika kwenye familia yangu, ofcn kwangu mpaka marafiki wote wanajua nilikuwa na mahusiana nae sasa najiuliza ntawambia nini hasa familia make tayari nshamtambulisha nahc ntaonekana cjatulia hasa kwa wazazi wangu, huyu jamaa alifanya nikarisk kazi yangu nikawa naaga naenda kumuona mdogo wangu kumbe naenda arusha kumuuona yeye by that tym alikuwa anafanya masters yake pale nelson mandela kwa sasa kamaliza yupo dar sina mawasiliano nae anachoanya cjui na hata ikitokea nimepiga cm akipokea ananijibu kwa hasira as if tumegombana yani jamani naumia sana na nilimpenda kwa dhati na yeye analijua lkn cjui ni shetani gani kampata,.
Naombeni ushauri wenu jamani,..

Huyo jamaa kama alikuwa N. Mandela nimemfahamu!
 
Dalili zinaonekanaga sema nyie akina dada huwa mnajitia upofu....lazima tu kuna dalili uliziona lakin ukakomaa......ujifunze sasa
 
kuna shetani tena hapo..? huyo kampata mwingine bro stukaaa...japo life ni gumu kwa upande wako lakini wewe mtoto wa kiume,,komaaaa...!!
 
usiogope ndo maisha hayo nothing is permanent even our life is very short my dear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom