Mchumba wangu ana madeni balaa

Mchumba wangu ana madeni balaa

Kwenye maombi na kwa waganga ndio kumejaa wanawake. Mmetufanyavso desperate, kuna wadada na elimu dunia kibao wanatapeliwa hadi unashangaa!

Hii ni kweli kabisa.

Kuna mama mmoja namjua alifiwa na mdogo wake wa kike zamani kidogo.

Basi akawaongoza ndugu zake [siblings] katika juhudi za kwenda kwa waganga ili waweze kumrudisha [waliambiwa na mganga eti hakufa bali alichukuliwa ng'witunga, ni kama msukule flani hivi] huyo marehemu ndugu yao.

Mwisho wa siku wakaishia tu kuliwa hela zao na huyo ndugu yao wala hakurudi.

Pia, ninadhani hata huu utitiri wa akina ustaadhi wanaobandika matangazo yao kwenye mistimu na miti huwa wanawalenga zaidi akina na mama na akina mama/ wadada ndo wateja wao wakubwa.
 
Duh, huyu naye kiboko kama wewe tu mkuu, uchumba miaka tisaaaaaa!!! hivi mnaogopa nini kuoa mkuu sumbai? tujuzeni na bro mkubwa Eli79 tunaweza kuwapa ushauri

cc Heaven Sent njoo uone huku uchumba sugu mwingine
Ha haaaa haaa...sasa kakaa mimi nipo uchumbani mwaka wa 3 na sitarajii kumuoa leo wala baada ya miaka miwili

Alafu unanihoji hoji..kumbe kuna watu yani uchumba ni nearly awamu nzima ya urais. Daaaah

My dada Heaven Sent kuna tatizo hapo!!? Wakat wengine paka miaka tisa!!!!!!

Teh teh..Na jamaa wala haonyeshi kama ana mpango wa kuoa karibuni..

Huyu jamaa anaweza akawa anashikilia record ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu hapa MMU

yaaani jamaa kweli kavunja record, pongezi zake kwa kudumu nae na kuvumiliAna.
 
Last edited by a moderator:
Mchumba wako ana akili kuliko unavyofikiria !!
^^
 
amilyroley umetoka kumnadi fisadi lowassa,sasa unatusahaulisha na uzi wa uchumba wa miaka tisa? pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
amilyroley umetoka kumnadi fisadi lowassa,sasa unatusahaulisha na uzi wa uchumba wa miaka tisa? pole sana mkuu

Mkuu uchaguzi ulishaisha na si busara now kumjua nan fisadi nan malaika. Wote tulipishana itikadi lakini lengo letu wote lilikuwa kumpata rais wetu na tumempata na ndio maana hujaona nikipost kumpinga magufuli baada ya matokeo. T ujenge nchi tuache hizo tofauyi ambazo bado unazo kichwan nafkiri bado unadhan uchaguz unaendelea. Tumuombee rais afanikiwe katika malengo ambayo wananchi ametuonesha na kutupa moyo kuwa inawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Miaka9 duuu uchumba sugu.
Kuna jamaangu anauchumba toka2003 ndio anaowa mwaka huu harusi tarehe19/12/2015.
 
Inawezekana akawa hadaiwi na hao anaokwambia.

Ukipita nae sehemu akakwambia anadaiwa muulize ni kiasi gani ili siku nyingine pita mwenyewe ukayalipe bt usije kushangaa baadhi ya sehemu wasipolitambua deni au kiasi daiwa,akili mkichwa.
 
Ahaaaaaa! Umenifanya niwe kutuko mbele za watu jamani nimecheka naumia tumbo loh eti anakopa wigi loh! Mwambie aje na kwangu akope vya x.mass mzigo ni mpya kabisaaaa
 
Duh....hii inabidi tuingize kwenye record za MMU ambao wamekaa kwenye uchumba muda mrefu lakini usisahau 31 December tuna turn mwaka mpya kwahiyo kwenye 9+1=Hahahahahahahahaha....hii hatari sana
 
Mkuu ile kitu haichuji.

Kwa topic. Jamaa anatuongopea.
Kiongozi swala la madeni tuliweke kando kwanza, ni kwa nini unamhold binti wawatu miaka 9 bila kumuowa? yani utamu wote ule wewe umri wake akishachuja usichana ndio umpige chini halafu uowe mwingine? ndugu yangu utalogwa na wanawake wanawajuwa waganga kuliko unavyoweza kufikiri. shauri yako.
 
Ha haaaa haaa...sasa kakaa mimi nipo uchumbani mwaka wa 3 na sitarajii kumuoa leo wala baada ya miaka miwili

Alafu unanihoji hoji..kumbe kuna watu yani uchumba ni nearly awamu nzima ya urais. Daaaah

My dada Heaven Sent kuna tatizo hapo!!? Wakat wengine paka miaka tisa!!!!!!

yaaani jamaa kweli kavunja record, pongezi zake kwa kudumu nae na kuvumiliAna.

Ngoja tupime uchumba wake na safari za vasco da gama kukaaa angani nafikiri vinashabihiana aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tupime uchumba wake na safari za vasco da gama kukaaa angani nafikiri vinashabihiana aiseeee

Ha haa vasco da gama nadhana yeye ana 10+1 maana juz juz tu alikuwa southafrica
 
Miaka9 duuu uchumba sugu.
Kuna jamaangu anauchumba toka2003 ndio anaowa mwaka huu harusi tarehe19/12/2015.
Hahahaahahahahahaahahaaha....hii fundisho lazima tukae miaka mingi kujua tabia za wenza ambao tunataka kuoa maana unaweza kuoa bomu la atomic
 
Ha haa vasco da gama nadhana yeye ana 10+1 maana juz juz tu alikuwa southafrica

Mkuu sumbai hii ata vasco da gama akiona lazima amuozeshe kinguvu kwa kwenda mwenyewe kumlipia mali maana hakuna namna angalau dhaifu lakini hapa atafanyaa maamuzi magumu
 
Duh, huyu naye kiboko kama wewe tu mkuu, uchumba miaka tisaaaaaa!!! hivi mnaogopa nini kuoa mkuu sumbai? tujuzeni na bro mkubwa Eli79 tunaweza kuwapa ushauri

cc Heaven Sent njoo uone huku uchumba sugu mwingine
Mkuu mito, hivi mtu anakuwaje na mchumba kwa miaka tisa? Yani mfano walikutana wakiwa
25 kwa 23, hadi sasa wana 34 kwa 32. Tuwahurumie hawa wanawake bwana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom