Mchumba wangu ana karama ya unabii, ananitisha!

Binafsi naogopa Sana watu waonaji( watabiri)
Yaani unakuta mtu anakutabiria kwamba utakutwa na Jambo zito Sasa badala ya kukupa muongozo jinsi ya kuliepusha lisitokee yeye anajikalia tu kimya.
Very pathetic!
Mzee shida wanaonaga vitu halafu hawana uwezo wa kuvizuia, eg alimuona mama ake ana huzuni, ila asingeweza zuia kifo cha kaka ake,

Alimuona jamaa hospital, ila hata hakujua alienda hospital kwa kuumwa ah kurogwa
 
Kuna wanaipewa na njia ya kuzuia ila ukimwambia mtu haamini, basi unaacha lipite

Mwaka jana mwezi km wa 3-4 nilimuotea ndg yangu akiuawa kwa risasi mazingira ya kazini kwake, niliposhtuka nikasikia sauti ndani yangu ikisema nimpe tahadhari abadili tabia zake hasa watu wa kazini kwake ama la watamuua, nikamwambia akapuuza mwaka huu mwezi wa 2 katikati amefariki kwa ajali ya kutatanisha
 
Atuambie 2025 Rais ni nani
 
Binafsi naogopa Sana watu waonaji( watabiri)
Yaani unakuta mtu anakutabiria kwamba utakutwa na Jambo zito Sasa badala ya kukupa muongozo jinsi ya kuliepusha lisitokee yeye anajikalia tu kimya.
Very pathetic!
Kuna Demu alinitabiriaga kitu aliota kuhusu mimi akaniambia sali nikapuuzia yaliyonikuta hawa watu siwapuuzii aisee
 
Yaani umesema ulienda kupata kinywaji na watu ambao ndo washindani wako kwenye kesi.😂 ulifata ule msemo wa mchawi mpe mwanao amlee.
 
Mzee shida wanaonaga vitu halafu hawana uwezo wa kuvizuia, eg alimuona mama ake ana huzuni, ila asingeweza zuia kifo cha kaka ake,

Alimuona jamaa hospital, ila hata hakujua alienda hospital kwa kuumwa ah kurogwa
Very brilliant observation!

Asante kwa kunisaidia kufafanua mkuu.
 
Kinywaji ni complex term, ndani yake Kuna maji, pombe, juice n.k.

Akili yako mbovu ndio imekufanya uwaze kwamba kinywaji nilichokuwa nakunywa ni pombe.

Kwa akili hizi ni lazima CCM iendelee kutawala.
Hizi ni zile DIVISION 5 enzi za Kikwete. Huwa wanakurupuka sana kujipapatua. Msamehe tu. Ndo madogo wa miaka hii uelewa wao ni shida sana. Ndo maana wanaishia kuwa mabwabwa.
 
Duh! Aisee!

Poleni sana mkuu.

Haya mambo haya, mmnh!!!
 
binafsi nimekupata. zaidi sana umenikumbusha neno la kwenye kitabu cha Marko "... hata mkinywa kitu cha kuwafisha hakitawadhuru".

TUSIACHE KUMTEGEMEA NA KUMWAMINI MUNGU
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…