Mchumba wangu ameamua tuachane

Mchumba wangu ameamua tuachane

Just Forget That Bitch Bro. Atarudi Analia Kwa Uchungu,What Goes Around Comes Around,Endelea Na Maisha Yako,Ulizia Kuhusu Mtoto Na Umtunze Inavyopaswa Kama Baba Yake.
Nasubiria Mrejesho Atakavyokufuata Na Kujutia Na Kukuomba Msamaha Kuwa Amekosea,Then Wewe Ndo Utaamua Mechi Ichezwe Vipi.
Dedication:Amerudi By Christian Bella & Malaika Music Band....
Till Then,Uishi Salama Brother.
 
Still you didn't answer my question what the child has to do na mistake ya Huyo Dada? I think the baby has to be left out of this crazy mess na jamaa has to take care of that baby since the child is his .. Thanks..
Huwa navutiwa sana na mwandiko wako
 
Umeongea point loveissweet ila napenda kukuliza kwanini mara nyingi mwanamke akimzidi mwanaume elimu au fedha wanaanza kuleta kiburi na dharau kwa wanaume zao??
Kikubwa zaidi ni pesa ndo kinachoangaliwa. Huyu mwenzetu angekuwa na pesa hasingefanyiwa hivyo. Kwa mfano sisi mateacher tunakataliwa na walimu wenzetu kisa wanaona kipato kidogo wakati wote tuna degree na huyo madam anaamua kuolewa na polis aliyeishia form Four kisa mshaara wake ni mkubwa kuliko wa mwalimu wa degree
 
Asante dada, lakin sijajua kama mm ndo mwenye kosa. Au yy for me i thought atatafuta namna ya kulisolve hili tatizo kumbe mwezangu anamawazo mengine kabisa
Kaka hata kama ni wewe ulikuwa na makosa , but si ulimmpigia simu kutaka kuoongea nae, after hiyo 2 months ili muongee but she was already have another man..Why hakukupigia na kukuambia bwana kwa sababu one , three nimeshindwa so naona tuachane.. Alichokifanya , alikipanga na ata reap for what she sowed .. Watu tunakoseana kwa relationship na tunaweza tusiwe na mawasiliano kwa muda but sikuwahi kumove that fast as she did 2 months? Huhhuu No..... Halafu bila ya kumuambia mwenzio .. Kwa maana usingepiga simu usingejua , for my understand ni alikuwa ana kucheat before even that problem happened .. Ilibakia kuhalalisha tuu kwa kutafuta reasons ya kuachana na wewe ... Achana nae futa machozi, lea mwanao . omba Mungu sana ili akuponye... I say again achana nae and move on with your life .. Thanks..
 
We as men think differently, mwanamke akikuzingua unampotezea yeye na mtoto wake ingawaje na we ni mtoto wako.
Na mwanamke ukimfeel unamtake care ye na mtoto wake hata kama mtoto sio wako.
Halafu later on the child akija kukulaumu , for you not to be there , ndio nyie mnaanza kusema oooh her/ his mother taught the child to say that... Honestly men like that I do not have No respect toward them .. Because whatever happened between mother and Father has nothing to do with that child.. And for the Father not keep his duties going on , it shows how weaker he is and irresponsible parent... Thanks...
 
Kikubwa zaidi ni pesa ndo kinachoangaliwa. Huyu mwenzetu angekuwa na pesa hasingefanyiwa hivyo. Kwa mfano sisi mateacher tunakataliwa na walimu wenzetu kisa wanaona kipato kidogo wakati wote tuna degree na huyo madam anaamua kuolewa na polis aliyeishia form Four kisa mshaara wake ni mkubwa kuliko wa mwalimu wa degree
Money can never by everything.... If so why rich people can not save their own lives with the money they have ... Its by the Grace of God that keeps us alive ... Thanks..
 
Pole ulisusa kwa miezi 2 daahh hata mie ningekuacha tuu......Tafuta pesa acha kulia muda huo haupo tena
 
Dear If I was you ..as bitter as it is ningeshukuru Mungu for the everything .. Huyo hakuwa wako my Kaka subiri wako anakuja.. Just move on by taking a time off on dating for a while .. Take care of your child with all your heart .. Invest your time on Praying, your child and work.. Na God will heal you.. Dont worry huyo yakimmshindwa mbona atakukumbuka na kurudi kwa kasi kwako.. But never take her back because hakuthamini Upendo wako bali alithamini money , forget her dear , she is not worthy for your tears to come out ... Nakuhakikishia she will pay for your tears huko ataaishia kuchezewa na kupotezewa muda .. Why? For what she did to you.. Unajua ni bora MTU akucheat , au ku lie then can do that the way she did.. But you didnt ... Ni wivu tuu wa kummpenda ... Sasa wait the outcome yake ya ku reap for what she sowed .. Soon it will come .. Pole sana... Thanks..
Duh Swa-ngeli hilo, heko!
 
Hivi unavyombembeleza, halafu akarudi na anaukimwi, akakuambukiza, baada ya hapo mkaachana tena, mwenzako ataendelea kujihudumia akiwa kazini ila wewe usiye kuwa na kazi na muathirika utakufa mapema. Achana naye, huyo ni malaya na amejilaani huko aliko. Kikubwa kapime kama huna HIV, baada ya hapo tulia tumia kipaji chako uendelee kufanya biashara, umri wako bado sana tena sana. Jipe miaka kama 4 upige mishe mishe halafu ufikirie kutafuta mwenza.
 
Ndugu zangu mm ni kijana miaka 30,elimu yangu ni kidato cha 4. nina mchumba ambaye ukweli nnapenda sana, nimekuwa nae kwenye mahusiano, kuanzia 2014 alipo maliza tuu degree ya uhasibu pale tia, nilikutana nae mtaani tuu ndipo mahusiano yakaanza.

Tumebahatika kupata mtoto wa kike 19. 10 2015, mwenzagu kwa sababu anavyeti alikuwa amesha apply kazi sehemu tofauti tofauti na bahati nzuri 2015 alipata kazi selikarini. Alipo pangiwa sehemu ya kazi ikabidi tukubaliane mm nimfuate, ingawa kipindi hicho nilikuwa na umachinga wangu Dar, kweli baada ya miezi kadhaa mm niliamua kumfuata mpenzi wangu ili tuishi pamoja, maisha yamesonga ingawa mikwaruzano ya hapa na pale ni mingi tumeishi hivyo hivyo.

Mwezi wa kwanza walipewa maelekezo na tasisi waende kusoma, Short courses ya miezi 4, ameenda na mtoto baada ya wiki akamuachisha mtoto ziwa ili awe na muda mzuri wa kusoma mtoto akampeleka kwa bb yake huko huko dar. Kwa hili mm niliona ni sawa ili awe na muda mzuri wakujisomea maana mwisho wa siku wafanye tena mitihani.

Tulikuwa tunawasiliana vizuri tuu. Muda wowote ule, baada ya wiki tatu, ndipo matatizo yalipoanza, kuna siku nilimpigia simu zote mbili zikawa hazipatikani, sikujua shida ni nini kwa sababu tulikuwa tumeshazoeshana kujulisha kwa kila hali mm hiyo siku nilipaniki nilipiga simu usiku mzima simu zikajapatikana saa 3 asubuhi kumuuliza anasema ziliisha chaji, wakati huo huo, usiku niliingia WhatsApp niliona last seen yake ilikuwa saa8:43 usiku.

Nilishidwa kuelewa, nilimtukana sana kwasababu ya hasira ila yy akawa ananicheka, nilimuambia kuongea na mm lazma anipe sababu za kuridhisha sikumuamini kwa sababu ya kuonekana online usiku.

Sikumtafuta nikiamini kwamba lazima anitafute angalau aniombe msamaha, imepita miezi 2 bila mawasiliano, nimekuja kusitukia sasa mm nnahitaji mawasiliano nae tayari yupo kwenye uhusiano mwingine huko huko chuo eti ameshachoka kusubili hasira zangu ziishe, na ananitamkia wazi hataki tena kuishi na mm sababu sijamtafuta miezi 2, nimelia sana nmemuomba mm kama nilikosa anisamehe aachane na jamaa hataki anasema nimeshachelewa kusolve tatizo.

Nnapiga cmu anakata nnatuma sms hazijibiwi, na hadi fb ameandika ameingia kwenye uhusiano mpya. Ndugu zangu nnalia sijui cha kufanya, ukweli nnampenda sana.
mkuu we unafikiri cku hyo alivyokua offline cku nzima alikua na nani? mi nafkiri ilikua ni swala la muda tu ila kumwagwa kulikua palepale......so just move on achana na habar za kulialia mwenzio ana degree kampata wa degree mwenzie so badala ya kulialia hebu jipange usongeshe life lako
 
Yaani kaanagu kwanza pole na hilo lililokukuta sio jambo la ajabu kabsaa, hasa kwa kizazi hiki, yani mwanamke ampende mwanaume asiekuwa na elimu, pili hana kazi, pesa wala biashara yoyote, jua atakumwaga tu, na asipokumwaga hayo manyanyaso utakayopata utajuta, hapo unahisi Mungu kakuonea eeeeeh!!, HAPO UNAPASWA KUSHUKURU MUNGU AMEKUONYESHA HILO MAPEMA, JE UNGEINGIA KWENYE NDOA??, Sasa wewe chukulia hiyo ni kama changamoto, fanya kazi kwa bidii rudi zako dar endelea na biashara zako, tafuta wa level yako oa, lea mwanao, huyo atakukumbuka tu, maana hao wanaume wasomi nao eeeeeh!! wana visa vyao navyo, ubusy kujidai kingereza kingi kwenye simu, na ujeuri na uhuni juu (baadhi), mana kila mwanamke anawakimbilia hao basi hata kama hawataki michepuko unakuta wanaingia kilazima, kwahiyo na yeye atakuwa na ushindani mkubwa huko.
 
Pole bt dem Chuo kikuu, ww form 4.....inahitaji neema ya Mungu.
Watu rafki yangu kapiga kozi miezi tisa karudi kakuta dem anamsubiri ....braza mi naona kakuchoka tu na pili kashapata mtu nafasi yako mi siioni hapo
 
Pole ulisusa kwa miezi 2 daahh hata mie ningekuacha tuu......Tafuta pesa acha kulia muda huo haupo tena
Ccta mm niliamua kukaa kimya angalau bhasi nione sorry yake au jitihada yoyote yakuonesha kuwa anajali, sikuiona, unataka kuniambia kutafuta soln ni jukumu2 la mwanaume tuu?
 
Hakuma kitu kizuri kama kuishi maisha ya kutolazimisha vitu. Maisha ni safari ya sisi kujitambua na kwa kujaaribu kung'ang'ania vitu na vikitukataa tunajua havifai. Achana nae na umshukuru Mungu maana amekuepushia kitu kikubwa sana ambacho hujui. Na endelea na maisha yako ya kawaida.
 
Back
Top Bottom