Mchumba wa rafiki yangu

Mchumba wa rafiki yangu

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,456
Reaction score
1,569
Rafiki yangu amelazimishwa kuoa mke mwenye siafa tofauti na matarajio yake katika suala la maisha ya ndoa.
1. Mkubwa kwa miaka 2 kuliko mume
2. Mwanajeshi wa JWTZ
3. Mume itamlazim kuhamia Kigamboni toka Morogoro mke yupo kikazi au awe mabli nae hadi likizo.
Hali hii inampa wakati mgumi kaomba ushauri tumsaidieje
 
kalazimishwa na nani???
alafu namjua si vu.....
mpe pole
 
mmezoea kuonea walimu.
alivyokuwa anamdinya alitegemea atamkimbia!!
 
Sijaona mwanaume analazimishwa kuoa labda uwe mtoto wa mama
 
Duuuhh, mbona kama sijakuelewa. Ktk ulimwengu huu wa digitali? Kama kajilazimisha hapo sawa.
 
Huyo ni mvulana au mwanaume?nijuavyo wanaume hua wana misimamo na ni ngumu sana kufanya jambo kubwa kama kuoa kwa kulazimishwa
 
kama alishindwa kujiendesha jua mwenyewe tu alipenda
 
Hii bila shaka ni hekaya ya kusadikika...
 
Ndo utatia akili itakuwa unatabia ya kupiga wanawake so umetafutiwa jeshi haya kuwa mtemi sasa
 
Back
Top Bottom