Mchumba wa rafiki yangu

Mchumba wa rafiki yangu

Huyu jamaa lazima atakuwa domo zenge,kwa ulimwengu huu wa digital unataftiwa vipi mwanamke ukakubali??,inabidi tumtaftie ngozi ya fisi na mishale maana bado yuko kwenye ulimwengu wa STONE AGE
 
Huyo ni mvulana au mwanaume?nijuavyo wanaume hua wana misimamo na ni ngumu sana kufanya jambo kubwa kama kuoa kwa kulazimishwa

Huy lazma atakuwa mvulana wanaume hawako hvyo!
 
Ame lazimishwa??
He must be dumb...
Mwanaume gani analazimishwa kuoa?
 
Back
Top Bottom