kianachoa sio mika bwana kinachooa ni akili,2 usipo kuwa commitmnt at 25 old unategemea kuwa cmmtd at what time?
kweli mwaka wangu huu best kutoka kuniita mparee mpaka mzungu nimepanda cheo asante sananina wasiwasi wewe ni Mzungu...
Acha ubishi wewe, umri ulionao ni mdogo sana kufikia maamuzi ya KUOA.
Kama kweli unajiamini kwa umri ulionao, hakukua na sababu ya wewe kuja hapa JAMVINI na kuanza kuhangaisha MBONGO zetu zikusaidie kufikia maamuzi.
Eti "commitment" eboh, kuiandika tu kwenyewe inakushinda, hapo sijaamia kwenye mwandiko wako, kitu kidogo unazungukaaaa
kweli mwaka wangu huu best kutoka kuniita mparee mpaka mzungu nimepanda cheo asante sana
kaka kujua maana ya mchumba na uchumba sioni kama ni shule ngumuJe unajua maana ya UCHUMBA au MCHUMBA?
hongera kijana nachokushaur jaribu kukaa naye karibu umsome tabia ila hongera kwakupa ka demu wa kimasa
Me naona kwanza umri wako mdogo kuoa ila kama unategemea kumuoa baadae sawa!
Na nilicho gundua hauna upendo kwake na ndio maana hujui pa kusimamia!
mzima wewe
Usiendeleeeeeee!!!
Me naona kwanza umri wako mdogo kuoa ila kama unategemea kumuoa baadae sawa!
Na nilicho gundua hauna upendo kwake na ndio maana hujui pa kusimamia!
Me mzima sana! Miss you saana
yan, yan, yan............
nini tena swt
umeshindwa pakusimamia
Ile mila ya kwa upande wa mamako ya mkeo mke wetu utaiacha? Maana huyo masai ni dada yetu. Hatuipendi.
wako poa kaka me ninae,wapole,msmamo,polite