Na kweli. Asante kwa kunikosoa.Jirani sasa naona leo nikukosoe....hivi unajua kuwa smoking in public ni against bylaws?
Najua wafahamu madhara ya moshi wa sigara kwa wale wauvutao unfiltered...
kila jambo na wakati wake.
Kuvuta sigara sebuleni sidhani kama ni ujasiri....
Hata ofisini huwezi kuvutia misigara yako, utaenda kuvutia nje.
Lazima chombo chako cha starehe kinavuta hii mikituNa kweli. Asante kwa kunikosoa.
Btw I dont smoke cigarettes but huwa najaribu ku accomodate the other party.
Amteme mwenye naeMchumba ameonesha kwamba endapo ataolewa basi nyumbani kwake itakuwa fegi mwanzo-mwisho. Kama vipi wamteme mapemaaaa.
Not at all.Lazima chombo chako cha starehe kinavuta hii mikitu
Jamani,
Bro katoka Uingereza na mchumba wake, wote ni Watanzania na wameenda ughaibuni mwaka 2010 wakiwa ma boyfriend na nyumbani wakiwa hawamjui huyo binti.
Juzi usiku wameingia Tz kwa ajili ya kutambulisha uchumba wao na mapumziko ya Xmas.
Leo usiku kulikuwa na sherehe ndogo ya utambulisho, baada ya utambulisho binti akaliwasha li Malboro lake.
Moshi nyumba nzima, kwa aibu mama akamuambia tunaomba ukavutie nje, sisi huku Tanzania hatujazoea kuvutia sigara ndani.
heri yakoNot at all.
Ni kweli kwetu Mbeya, Uswazi,Soko Matola,Mtaa wa
kanisa, nyumba namba 4, jirani na makaburi ya
Loleza.
King'asti huyu binti hana adabu hata chembe, kwa mimambo yake haya ya madharau nyumbani kwetu sidhani kama kuna mtu ataweza kumtembelea nyumbani kwake.
1. Huyo binti ni mshamba tu, hata huku ulaya havuti sigari ndani.
2. Chanzo cha tatizo hapo ni bro. wako, inaonekana naye maadili yake yameshuka vilevile baada ya hii miaka michache ya kukaa ughaibuni. Huyo msichana alipataje ujasiri wa hata kufikiria kuwasha sigara kwa wakwe, achilia mbali kuvutia ndani?
Conclusion: Bro. wako na huyo nyapu wote wameshakua vimeo. Muwaombee tu!