Mchumba wa BOFLO alipotembelea PARIS....

Siyo Uchokozi Boflo.

Unajua leo nimeamka na kama kawaida, nikishawasha Computer namwita WIFE na kumuonyesha nini leo BOFLO kaweka.

Juzi nusura animwagie chai kwa sababu alishindwa kujizuia kucheka alipoona Panya na Mouse wakibakana.

Nimeona ngoja nikuamshe huko ulipo ili utupe RIZIKI yetu ya kila siku.....

BOFLOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Very creative.......
Sikonge na ww kumbe mchokozi.... Kaunga njoo umkanye huyu mwana mpotevu

Hata hivyo, kama huyu dada akiwa SHEMEJI yetu, basi mtatuuwa kwa vituko vyenu. Keep it up 🙂
 
Kanaonekana kanapenda kubwa kubwa lol,ukienda na kibamia chako mtoto anaishia kuchat whatsapp au kusoma zageti mwee!
 
BOFLOOOOOOO, here you are.

Shemeji yako hapa umeumiza mbavu. Homeboy mbaya wewee.

Boflooooooooooooooooooooooow!!!!!!!!!!!!!!!!
 

tupate nguvu za kutanua mbavu zetu vyema! Boflo ni noma!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…