Mchumba nimempata ila...!!!

kwa vile amekuwa muwazi, na umesema ni mcha Mungu we muoe tu, ila jipe muda kwanza ili umfahamu zaidi usifanye haraka, wanawake tuna siri nyingi mno tungekuwa tunaziweka wazi hakuna ambae angeolewa hata mmoja, wapo waliotoa mimba zaidi ya kumi lakini kwa sasa ni wife materials, wapo waliokuwa machangudoa lakin kwa sasa wametulia na familia zao!, wapo yaani wengine hawaelezeki lakin kwa sasa ni mama bora kwa familia zao!! nadhani hata wewe una mabaya yako ya nyuma huko lakin kwa vile mnaanza moja hamtakiwi kuangalia ya nyuma,

That is good advive. Ushauri mzuri sana
 
kaka kwanza naamini wewe una hofu ya Mungu, muombee kwa Mungu azidi kumsamehe na wewe endelea kumuombea kwa Mungu azidi kusahau mapito yake.. mimi sikushauri umuache lakini ninachokushauri ni kwamba usiwe na haraka naye, jipe muda hata miaka 2 hapo utakuwa tayari umefahamu mengi na umemjua vizuri... wafahamu ndugu zake maana huko itakusaidia kujua mengi kuhusu yeye.. but may be anaweza akawa mke bora.. lakini pia uwazi juu ya historia mbaya ukizid sana husinyaza moyo, huwa tunasema mambo ya past kwa purpose maalum sio kama fasheni fulani.. nakutakia uchumba mwema na ndoa njema... Kristo awe nawe
 
Huu ni mtazamo wangu Mkuu.

Huyo binti inaonekana amekomaa kiakili kutokana na mapito aliyopitia ndio maana anataka usizini naye mpaka mfike kwenye sakrament ya ndoa.

Pia huenda kuna athari alizipata kutokana na hilo tendo la kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwa hiyo ana hofu huenda ukifanya naye mapenzi kwa kipindi hiki cha uchumba wenu utaziona hizo athari mwisho utaamua kumuacha .

So hebu kaa naye umuulize katika kipindi hiko cha uasherati na huyo mtoto wa bosi wake hakuna matatizo aliyoyapata katika via vyake vya uzazi ?

Na huyo mtoto wa bosi alaaniwe huko alipo kwa kumuharibia ndoto zake huyu bunti ila akae akijua hili ni deni lazima atalilipa katika uzao wake.
 
kila mtu ana maovu yake ujue hilo-maadamu kakuambia ukweli mwenyewe basi mweshimu na uzidishe upendo,usiwe mwiba kwake kwa sababu kakuweka wazi hakuna mwanamke aliye timamu anayeweza kufurahia uchafu kama huo,,vinginevo usipokubaliana na huo ukweli utaibua tatizo na ww utakuwa sehem ya tatizo
 
Heri ya mwaka mpya wana Jf wote..!
Nalileta kwenu hili nikiamini humu kuna watu wazima wenye kuweza kunishauri katika hili.

Ila kwa wale wadogo zangu ambao bado mko masomoni naomba muwaachie wakubwa wetu wanishauri na sio kuleta utani,matusi na kejeli.


Ni muda sasa nlikuwa natafuta mchumba ambaye badae aje kuwa mke, nilileta uzi humu lakini pia niliwashirikisha watu wa karibu ikiwemo viongozi wa kiroho na nilifikia uamzi huo baada ya kuona muda wangu wa kuoa umefika pia nlishachoka na maisha ya kihuni
Wengi niliokutana nao sikuvutiwa na tabia zao.

Lakini kuna binti nimempata ambaye kweli ana sifa zote nilizotaka.
Ni mcha Mungu,ana heshima kwangu na kwa jamii inayomzunguka pia anaonekana muwazi kwangu.

Nilimfahamu kupitia mama mmoja wanasali kanisa moja
Baada ya mazungumzo marefu nlimueleza nia yangu ya kumwoa akanielewa ila akaomba tusifanye sex mpaka ndoa nilipomuuliza kwa nini akasema alikuwa na mchumba ambaye alimfanya ayachukie mapenzi baada ya kumtenda.

Nilimwomba anieleze kwa kirefu akasema yeye ni mtoto wa kwanza kwa kati ya watoto watano ambapo mama yao amezaa kila mtoto na babake!
Hamjui babake na alipomaliza elimu ya msingi mama hakuwa na uwezo wa kumsomesha hivyo alipelekwa Dar kufanya kazi za ndani kwa mama mmoja ambapo amedumu mwaka 1.

kisha manyanyaso yalipozidi akapata kazi sehemu nyingine ambapo alikuwa analipwa pesa nzuri na kumtumia mamake kijijini lakn badae mtoto wa kiume wa bosi wake akamrubuni mpaka kumtoa bikra na kuanza mahusiano ambayo yalidumu kwa kificho na kijana alikuwa akimsaidia binti kwa mambo mengi lakn tatizo alianza kumlazimisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile ambapo alishindwa kumkatalia kwani hakujua kama kuna madhara pia aliogopa kupoteza ajira.

Anadai alikuwa anasikia maumivu ila alivumilia na kijana alimwahidi kumwoa lakini baada ya mwaka mmoja kijana alileta msichana mwingine na kumtambulisha kwa wazazi mbele ya huyu binti.

Kitendo kilimuuma sana ndipo aliamua kuacha kazi na kurudi kijijini kwa mamake.
Ukweli anaonekana ana nia ya kuolewa ila kinachonipa hofu ni hili la mapenzi kinyume na maumbile.

Je nikimwoa na mimi sifanyi uchafu huo ataweza kuacha kabisa?
Japo yeye anaahidi hatoweza kurudia na hapendi.
Je ni kweli inawezekana mtu aliyepitia mchezo huo akaacha?
Nawaza pia nisimwoe lakini yeye amekuwa mkweli kunipa historia yake kwa kuamini ntamwoa.

Wangapi wanawaficha wachumba wao historia zao za kimapenzi mpaka wanaolewa?
Kifupi binti huyu ni tofauti kabisa na wengine niliowahi kuwapata ambao wengi wao waliweka pesa mbele na uongo mwingi!
Huyu binti ni mdogo miaka 19 na jana nliamua kumpeleka hospital afanyiwe vipimo vyote vya zinaa na H.I.V.

Majibu yalionesha hana tatizo lolote ila sasa tatizo linaloniumiza kichwa ni hilo tu.!
Ikiwa ntamwoa nfanyeje asije kuniletea matatizo mbeleni?
Au nimwache?

Pia nikimwacha ntamwaminije mwingine kuwa hajafanyiwa mchezo huo maana wengi sio wakweli.
Mbarikiwe sana.!!!
Kifupi kulingana na umriwake..nadhani huyo nimwazi.wengi hawawezi kuweka wazi hayo.wakatimwingine mambo hayo wanafanyiwa bila hiali kutokana na mazingira tata.hasa pale anapotokea kuwa hamjui mzazi mwingine..maanayake kwao ni shida kidogo.ilapia nimuhimu kumuuliza zaidi imeshiriki kinyume namaumbile marangapi...hii nikwasababu asijekuwa addicted...na aliacha mdagani.ili u measure vizr how to control her.but nivizuri usimuache.pia toa msimamo unao onyesha kukemea sana hilo.pia mchunguze vzr kama haja athirika kimaumbile,kwanini nasema hivyo!!labda kaona kuna jambo hutendeka bila kificho kutokana na kuingiliwa kinyume.nakama utagundua lipo..tibakwanza ilibaadae lisije kuwa kigezo cha kumnyanyasa.hongera kwahilo
 
Usimuache kaka ushauri wangu mpelek hospital akafanyiwe uchunguz kam hajaaribiwa huko nyum ila muoe uwezi kujua atakufaa nini katik safar yako ya maish Mungu akubarik
 
Endelea kumsoma taratibu... Kwa kua bado Mdogo Sana...jipe japo miaka miwili au zaidi... Ili uwe na uhakika na maamuzi yako...kwa kua aliamua kua muwazi...heshimu mawazo yake na uwe tayari kuyachukua kama yalivyo... Kama hutaweza Ni bora kumuacha utafute mwengine...pia ukimuoa kamwe usije kumkejeli kwa kumkumbushia alichokufanyia hatakama mtagombana vipi...past is past and a person who is mature enough wont let it get in his way.... They say sm secrets are better left unsaid... BT sometimes coming clean is the best way we think we can do... All the best
 
Usimuache kaka ushauri wangu mpelek hospital akafanyiwe uchunguz kam hajaaribiwa huko nyum ila muoe uwezi kujua atakufaa nini katik safar yako ya maish Mungu akubarik
Inataka moyo sana na upendo wa kipekee, ni vema binti huyo aibu angeificha maana ni maumivu kwa mwanaume.

atakaa nae kwa roho ya chuki japo usoni ataonekana akitabasamu, thamani ya binti sasa haitakuwepo hata kidogo, na hata baadae mwanaume hatajua kwann hamthamini mke wake.

Jamaa avumilie tu maana mabinti kwasasa ndio wamejaa mabalaa, wengi wamezaa hivyo atajikuta kaoa binti kaishazalishwa nje, katoa mimba mara kadhaa, na hao wanaoliwa 071 bila kusema.
 
Kama habari yako hii ni kweli kabisa. Usimuoe binti huyo, ni Kahaba mbobezi.
 
Moja ya vitu ambavyo vilikuwa vinaniumiza kichwa nikuoa binti ambaye kesha bikiriwa anus yake! Kila nilipokuwa nafikiria juu ya hilo nguvu zinaniisha mbaya zaidi nikutambua niyupi ambaye ameshabikiriwa nyuma au bado hajabikiriwa nyuma na ilinichukuwa muda sana kufanya maamuzi ila vinginevyo nilitaka kutooa kabisa! Kiukweli hakuna kitu kinauma kuoa mtu ambaye ameshaharibiwa nyuma haina tofauti na kuoa shoga!

Ila maadam amekwambia ukweli poa tu we jiolee tu kiongozi! Ila kitu kingine kuuliza uliza sana mtu unayehitaji kumuoa sio vizuri zaidi nikujitakia maisha mabaya kwani hizo kumbukumbu kukutoka ningumu mno na sidhani kama utakuwa huru mwisho wasiku utachukua maamuzi ya kumuacha japo unampenda yaani kiufupi nikama utakuwa jehanamu au kifungoni 'ngumu kuacha ngumu kuendelea'.
 
kwa kuwa unasema unamjua Mungu na hata huyo binti umekutana nae katika mazingira ya ibada, hebu mshirikishe Mungu funga japo siku 7 huku ukiombea hilo swala, mwisho wa siku ukipata amani basi ni wako huyo, kitu ambacho wengi huwa tunakisahau au hatukijui, ni kwamba ndoa huwa haiji hivi hivi tu, NDOA ni mpango wa Mungu peke kila mtu alipoumbwa aliumbiwa na ubavu wake, hivyo basi ukiilazimisha kama si mpango wa Mungu kamwe haitakuwa na ikiwa wala haitadumu
 
Sawa mkuu lakini hawa huwa wanaacha jumla kweli huo mchezo?
ashasema aliumia na hapendi..sidhan kama kuna ukweli mwingine unauitaji hapo, puunguza wasiwasi take risks, no one is perfect at list huyo umepata wazo la kumuoa na umeona ni mkweli. watu hubadilika na kukua, so enjoy the present while it last. yakitokeza ya sintofaham huko mbele utapata busara za kukabiliana nazo.
 
Mwanamke akikutamkia kitu cha aibu kama hicho huwa anamaanisha...

Binafsi nadhani ni mkweli hawezi rudia , katubu kwa M/Mungu pia kakiri kwako.. Muoe huyu mkuu! Hawezi rudia hicho kitendo!
 
Ulishawahi kumpeleka kwa wataalam wa saikolojia wakamshauri juu ya matatizo hayo.?? Kama bado nakushauri umpeleke apate counseling halafu mambo mengine yatafuatia...!
 
Mkuu ulianza kumnadi shemejiii vizuri tu,ila umeharibu hapo ktk swala la kuliwa tigo,je unauhakika halitakuja jirudia??anyways unaweza ukamuoa
 
Back
Top Bottom