Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,977
pumbavu sana hawa madada waliniibia EXTNAL HDD yangu akijua powerbank baada kugundua hakina faida kwake kaenda kuuza bei ya kutupwa 7bu hajui ni dubwana gan wala kazi yake wakati mule kuna data zangu zenye thamani ya mamilioni yq shilingi
yaan afungwe tu tena na adhabu kali gerezani wajinga sana njaa zitawaua
yaan afungwe tu tena na adhabu kali gerezani wajinga sana njaa zitawaua