Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
UKIJIFANYA WEWE MKALI WA TOTOS UKANG'OA HIKI KIFAA JUWA IMEKULA KWAKO
Aisha s/o!!! How come?
Jaman huyo aliyesambaza hiyo picha jaman jaman, kesi ya huyu dada bado ipo kwenye upelelezi leo hii watu mnazisambaza aisee,
Kwa mwanamke nilitegemea d/o......Mkuu haujawahi kwenda kuandika maelezo polisi uone jina lako linavyoandikwa? Fani za watu hizo!
Kwa mwanamke nilitegemea d/o......
Hahaha nimekusoma mkuu maana mtuhumiwa ni chuma ya kuotea mbaliBwana wee, kama afande alikua mwanaume si unaona kabisa kuna uwezekano alipitiwa wakati anaandika maelezo ya mnyange?
Hahaha nimekusoma mkuu maana mtuhumiwa ni chuma ya kuotea mbali
Kikosi chenyewe cha upelelezi umekiona? angalia post no 10 mkuu, hakuna kesi hapo!
Good observationAisha s/o!!! How come?
Kabisa Asha tena mrembo atakuwaje Son of Abdallah baada ya kuwa Daughter of Abdallah? Kweli muandikaji alichanganyikiwa.Aisha s/o!!! How come?
Hivi ma Huku kwetu tunaonyeshaga Hivi vibao Kama marekani?