PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,520
- 13,113
Wolper amekuwa togwa ya msibani sasa...kila mtu anachota tu
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
-Ndumilakuwili-
Wolper amekuwa togwa ya msibani sasa...kila mtu anachota tu
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Mkuu,Ebana hapo kwenye kuishi kama shetani ndio ujenzi wa taifa wenyewe, na hatuna namna tutaikwepa. Na kila mmoja zamu yake itafika tu hakuna namna.
Bana huyo mama sometimes naonaga ana logic lakini uwasilishaji wake ndio mbovu na hasa akichanganya na shombo! Kuhusu wafuasi hilo alishajihakikishia siku nyingi hata atumie lugha gani nzito hawezi kuwapoteza!.
Wewe unamuamini kwa kila neno anenalo...?Hivi kesha hama LA?
Kwn mange ni mhenga?Kibibi cha Philadelphia kinachoburuza vichwa maji wengi WaTanzania!
Kibibi kinatoa ushauri unaoambatana na matusi,kejeri na dhihaka!
Hivi huyu niwakuitwa mshauri...?
MCHICHA MWIBA !!!Madudu yake ya nyuma ya bumburuka mtandaoni
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Je umeelewa nini katika picha
Mmmmhh!! Huku nmepotea huku .. Jukwaa la wanaume wa DSM na wanawake sijui nmeingiaje.
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Hapana ni kijiji cha wavuviDar es salaam
ni kweli ndugu,,mkoani pia wapo sema hawajiachi kama daslamBongo Daslam......
Weka mbali na watoto wa kiume
Duh!!!kakomaa namna hile ndio anaumri huo sasa wakina Tunda watakuwa na umri gani?
-Ndumilakuwili-
Hapana ni kijiji cha wavuvi
Kuandika mmmh ni ushoga mkubwa sanaMmmmhh!! Huku nmepotea huku .. Jukwaa la wanaume wa DSM na wanawake sijui nmeingiaje.
Hizi ndio stor wanazopenda wanaume wa dsm
Ushoga ee! Nipe nilale na mkeo au mama yako atakupa majibu kama mm shogaKuandika mmmh ni ushoga mkubwa sana
Maweee.Madudu yake ya nyuma ya bumburuka mtandaoni
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Je umeelewa nini katika picha
Naunga mkono hoja tafadhalini kweli ndugu,,mkoani pia wapo sema hawajiachi kama daslam