Njoo pasaka uchukue dollar zako 200Sikuona hii bwashee😹🙌🏾

Sipo bongo now ndo maana💔Njoo pasaka uchukue dollar zako 200
Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono.
Kila ukimuangalia uliye nae, unawaza, "ntatokaje hapa?" maana hana ramani kabisa na vitu vya msingi kama baba wa baadae. Nimemuelekeza vitu vya msingi kwenye mahusiano, lakini naambulia ugomvi na ata kuambiwa tuachane. Baadaye, anajirudi tena, unadhani kapata somo, lakini bado yupo vilevile.
Sasa, kwakuwa sisi ndio husubiri kutongozwa, na kuna vitu tunavyovipima kwa anayetuongoza, tunabaki tupo kwenye uhusiano huku tukiwa na sonono. Uku mtaani, nimechoka. Sasa aje anayeweza hivi vigezo.
1/akubali kupima magonjwa hasa HIV na asiwe mume wa mtu au mwenye familia.
2/akubali kulea familia kuanzia tumboni kama tukijaaliwa.
3/akubali nifahamike kwao sio unanitambulisha kwa maworkmate/ mama au baba wa rafiki zako tu.
4/watoto wajulikane hadi kwao sio mama au baba ye ndo anafunga safari kuja kutuonea kwenye tunapoishi halafu anaondoka hapana.
5/asiwe na gubu au mgomvi yaan ye kitu kidogo tu kasusa hataki kuzichanga akili zake katika kutatua jambo kwenye famili kama kichwa cha nyumba.
6/sitaki wale wa My wangu, pw, ok, tnx bby au nambie na kuomba vocha au niongezee hela nimepelea sijui akishanunua hata hukioni wala hujulishwi, au nasikilizia mchongo subiri nikusanye afumbilimbili itimie hao SIWATAKI napo sema siwataki elewa hata mimi sina uzembe wa kuombaomba kizembe hivyo nataka tutakae endana nae anajua jukum lake kama mume na mimi nijue jukumu langu kama mke.
7/mkristu asiye na mambo ya BET. aliyemaliza ujana wa mambo mengi age 35+, ajitegemee sio wakuishi chumba kimoja mnashare watatu kodi, pia awe mkazi wa moro au awe na uwezo wa kuwa anakuja kila wikiend kuona familia.
NB: swala la yeye kuja kuiona familia badala ya mimi nika kae nae au ndio niende hayo ni maamuzi yake mwenyewe na hata ndoa hayo ni maamuzi yake maana katika ndoa mwenye maamuzi ni mwanaume hivo hiko kipengele sikilazimishi.
nawasilisha.
mzee mbona andiko lake liko poa tu au macho yangu na ubongo vimetenganaYaani uwe na mtu alafu wewe umpangie awe moro, au aje kuona familia moro, na bado umesema mambo ya chumba kimoja sijui nini?
Hivi wanawake mlioingia 30 mnajielewa kweli
Atakua bondia huyumbona kibabe sana? kama mtandaoni tu unaongea hivi je kwenye maisha halisi si ndo balaa? kuna mwanaume atayeweza kuishi na ww kweli?
Tupe sifa zako kwanza hebu jinadiWanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono.