Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

Hapo namba 6 ulipoanza na "sitaki wale" nimeshaanza kupata picha ukoje...
 
Ndo maana mtaani kwako wamekushindwa tatizo kamdomooll
 
Ila hujasema phisical body. Upoje?

ila umeanza vizur kuanzia mwazo kama ni mkeka unatikisha tu.
utata umeanzia namba 6, hapo tutakimbia koz sio kila siku ntakua vizur mfukon. hyo kauri mwanaume anakuja kwako anajua kabxa naenda kua mtumwa.
 
mbona kibabe sana? kama mtandaoni tu unaongea hivi je kwenye maisha halisi si ndo balaa? kuna mwanaume atayeweza kuishi na ww kweli?
 
mbona kibabe sana? kama mtandaoni tu unaongea hivi je kwenye maisha halisi si ndo balaa? kuna mwanaume atayeweza kuishi na ww kweli?
Mkuu hapa unatomba unatembea mpaka akili imkae sawa
 
Ila hujasema phisical body. Upoje?

ila umeanza vizur kuanzia mwazo kama ni mkeka unatikisha tu.
utata umeanzia namba 6, hapo tutakimbia koz sio kila siku ntakua vizur mfukon. hyo kauri mwanaume anakuja kwako anajua kabxa naenda kua mtumwa.
Huyu ni feminist,inaonekana ana jeuri,kiburi na anajiamini kupita kiasi,hawezi kuji-submitt kwa mwanaume,si unaona mtaani kwake wamemshindwa
 
NB: swala la yeye kuja kuiona familia badala ya mimi nika kae nae au ndio niende hayo ni maamuzi yake mwenyewe na hata ndoa hayo ni maamuzi yake maana katika ndoa mwenye maamuzi ni mwanaume hivo hiko kipengele sikilazimishi.

nawasilisha.
Hapa mwishoni ndio nimekuelewa zaidi na hii ndio maana halisi Chapa Ilale. Isipokua haujaweka namba tu hapo ndipo ulipoacha kipengele mama la mama njoo PM vigezo vyote na masharti vimezingatiwa na nimetimiza
 
Huyu ni feminist,inaonekana ana jeuri,kiburi na anajiamini kupita kiasi,hawezi kuji-submitt kwa mwanaume,si unaona mtaani kwake wamemshindwa
Muache aje kwa tunaaojiweza nyie vi Ben 10 tulieni nendeni TikTok kule mnafanya nini humu?
 
mbona kibabe sana? kama mtandaoni tu unaongea hivi je kwenye maisha halisi si ndo balaa? kuna mwanaume atayeweza kuishi na ww kweli?
Leo ni sikukuu ya Wajinga duniani April Fools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…