JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,531
- 18,372
Hata mimi nashangaa, kwani kwenda kwao imekua hoja? Huyo binti kafanya vyema, tena akomae mpaka kieleweke! Huyo njemba lazima ampeleke binti kwao, hata km ni uswazi lazima ampeleke. Angekuwa ni dada yangu ningefurah kweli coz km mshkaji ni mchakachuaji ujue wameisha mkomesha hapo!Kwani we unaona ugumu gani kumpeleka kwenu kwanza!???Anataka watoto wake wahakikishe wanapajua kwa hao watarajiwa wasije wakaingizwa mjini na kuachwa solemba wakati hata hawajui kwenu mtaa gani.
Habari wakuu,jamani naomba kufahamishwa jambo moja linalo nisumbua kichwa changu,
kuna binti mmoja mwenyeji wa kilimanjaro,nina mpenda sana na tumepeana ahadi ya kuishi pamoja katika maisha ya ndoa,
Tatizo ni kwamba ameniambia kwamba siwezi kwenda kwao kujitambulisha mpaka kwanza nimpeleke yeye kwetu,sababu anayonipa ni kwamba
kwao wapo mabinti watano,na baba mkwe yaani baba yake anawataka binti zake kwanza wapafahamu nyumbani kwa vijana wanaowapenda kabla hawaja waleta kwake ili atoe idhini michakato mingine iendelee.
sasa wakuu naomba kujuzwa hizi ni taratibu za wenzetu wachaga,au vp nisije kuwa napigwa changa la macho,
kwa wababa wenye mabinti je huo ni utaratibu ambao mwaweza kutumia ili kujilidhisha kwamba kijana anayeletwa na binti zenu ni muoaji au.
Mpenzi wangu bado yupo masomoni anahitimu mwezi wa saba
Kwani we unaona ugumu gani kumpeleka kwenu kwanza!???Anataka watoto wake wahakikishe wanapajua kwa hao watarajiwa wasije wakaingizwa mjini na kuachwa solemba wakati hata hawajui kwenu mtaa gani.
f u c k "u"unataka kuoa mchaga???? Poleeeeeeeeeeeeeee....................... Hawana mapenzi zaidi ya pesa........ Utakuja kunisimulia!!!!
wala hakuna ugumu dada lizzy,hili jambo nilikuwa naliona geni,nitampeleka tu hm,bk sio mbali
Wachaga hawapendi shida! Anataka kujua kama kwenu mpo financially stable
Ipfo dako.huyo binti anaenda kuangalia geto lenu,magar mangap,ng'ombe n.k mkwanja ndo unamata 4 sure.
mbona nina mpango huo piaunataka kuoa mchaga???? poleeeeeeeeeeeeeee....................... hawana mapenzi zaidi ya pesa........ UTAKUJA KUNISIMULIA!!!!