Mchumba kukuruhusu uwe na mchepuko, ni upendo?

Mchumba kukuruhusu uwe na mchepuko, ni upendo?

Hiyo ni two way traffic... the minute jamaa akitafuta side chick nae demu atatafuta side guy...

Siku wakifumainia kutakuwa hakuna wa kumnyoshea kidole mwenzake...

Ruhusa au makubaliano kama hayo hutokea tu pale ambapo mmoja wapo ana matatizo ya kudumu na hakuna njia nyingine yoyote...


cc: mahondaw
 
Huyo demu muda si mrefu utasikia "wewe oana na huyo mchepuko na mimi huko kuna jamaa nimempata alikuwa ananitimizia haja zangu wakati uko mbali na anasema atanioa" Nyie wanawake nyie.. hivi nyie niwakusema kamtafute mchepuko? je, akimng'ang'ania?
 
Nothing will change my love for you...

Something you can be sure of is... i will never ask more than your love...
Tehtehteh Nimekumbuka navokupimaga asee ila Smart911 wangu wewe ni geniazzzzzzz! Congratulations sweetheart
[emoji106] [emoji106] [emoji106]



Mahondaw wa Smart911
 
Ukiskia distance inaua penzi ndio hio. Hata mwanamke akupende vipi, ikiwa hakuoni daily na hamuwasiliani muda wote atakusaliti tu na kibaya ni kua mwanamke ni kiumbe dhaifu, atatongozwa na kamwe hatoweza kuwakatalia wote wanaomtongoza hasa wale ME waliokuzidi kila kitu. Wachache mno wana misimamo ila nao pia wanakutanaga na mabingwa wanalegeza masharti.

Yani lazma kuna mmoja atampa chance ata kwa wizi tu akijipa moyo kuwa "wangu yupo mbali hawezi jua hili" Ila hajui kuwa mwenendo wake kitabia tu ni alama tosha kwa bwana wake halisi kuanza mashaka juu ya penzi. Huyo wako kashakusaliti zaidi ya mara moja ndio maana anajiamini tayari.

Mwanamke msaliti lazma atabadilika attitude tu na kuanza kukuona kama option tu na kuona mahitaji yako sio priority. Hio ni ishara kuu ya mwanzo. Hata ukijaribu kulalamika hatojali maana hisia zake kahamishia kwa mchepuko wake huko na sasa anamskiliza yeye tu yani ndio maana ameweza kusema hawezi acha kazi akufate wewe.

Cha msingi tafta demu mpya tu na anza kujipunguza mapema maana ile statement ya "We sio type yangu" inakuja na haitokuacha salama mkuu!
 
Back
Top Bottom