Mchumba kukuruhusu uwe na mchepuko, ni upendo?

Mchumba kukuruhusu uwe na mchepuko, ni upendo?

Mwambie dogo aache ujinga. Kama mpaka sasa hana pa kupozea, atafute haraka ila asimwambie mchumba wake. Hapo most likely ni mtego au dame anaona poa tu maana na yeye huko mkoani anaye mmoja anayemwaga oil time ya service ikifika
 
Nani kakwambia Demu anajitunza.

Uzoefu wangu umenionyesha:- mwanaume ukipendwa na kutongozwa na mwanamke, basi huyo mwanamke atautumia uzoefu wake kuwafuata wanaume wengine japo anajua bado yupo na wewe kimahusiano. Mwanaume utachapiwa tu. Daadeki. Hata kama unakumbatiwa hadharani na flaunting kibao.

Sembuse Huyo alie mbali.?!!


Sent using Jamii Forums mobile app

Mh!
 
Mwambie dogo aache ujinga. Kama mpaka sasa hana pa kupozea, atafute haraka ila asimwambie mchumba wake. Hapo most likely ni mtego au dame anaona poa tu maana na yeye huko mkoani anaye mmoja anayemwaga oil time ya service ikifika
Sawa mkuu,...
 
Vizuri sana. Demu ana akili,aache Kazi kisa abdalah kichwa wazi!!!??? Upuuzi wa hali ya juu
Acha hizo wewe! Maisha yako bila Abdallah kichwa wazi yatakua na raha gani.... Acha masihara
 
Yaani unaombwa ushauri na wewe unakuja kuomba huku, unageza majibu mkuu.
Sasa swali limekua gumu mkuu.... Yeye mwenyewe anaamini kwamba demu kampenda saaana,. Lakini japokua naamini upendo una nguvu sana,.. Nilipata mashaka kidogo... Ndio nikaja kwa mikulubembe iliyobobea inisaidie...
 
Hahahaaaaa!!!
Hii imenikumbusha nishawahi kutoa kibali cha hivyo kwa mtu, sema sikumpenda thats why.

Mwanaume unaempenda kwa dhati huwezi aisee.
 
Mwanaume mwenyewe upo kwa mkwe wasiamamia biashara za mkwe hafu waona umechoka kumtembelea mke....anayetafuta pesa...

duniani kuna vitukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom