Hehehehe.
Naye atakuwa nae ila mmoja 2Isije na demu atataka na yeye awe na wa kwake hapo baadae
Duuh.Amich uu Smart911 wangu jamani.. How's work sweetmchumba??
Wa nini labda mana mii kuna ndugu yangu alichaguliwa mke na mkewe kweli akamuoaMtego huoo
Msi kariri lakini hizo roho bado zipoHakuna mapenzi hapo hivi unampenda jamaa yako unaanzaje kumwambia atafute mchepuko eti kweliiii
Ukiskia distance inaua penzi ndio hio. Hata mwanamke akupende vipi, ikiwa hakuoni daily na hamuwasiliani muda wote atakusaliti tu na kibaya ni kua mwanamke ni kiumbe dhaifu, atatongozwa na kamwe hatoweza kuwakatalia wote wanaomtongoza hasa wale ME waliokuzidi kila kitu. Wachache mno wana misimamo ila nao pia wanakutanaga na mabingwa wanalegeza masharti.
Yani lazma kuna mmoja atampa chance ata kwa wizi tu akijipa moyo kuwa "wangu yupo mbali hawezi jua hili" Ila hajui kuwa mwenendo wake kitabia tu ni alama tosha kwa bwana wake halisi kuanza mashaka juu ya penzi. Huyo wako kashakusaliti zaidi ya mara moja ndio maana anajiamini tayari.
Mwanamke msaliti lazma atabadilika attitude tu na kuanza kukuona kama option tu na kuona mahitaji yako sio priority. Hio ni ishara kuu ya mwanzo. Hata ukijaribu kulalamika hatojali maana hisia zake kahamishia kwa mchepuko wake huko na sasa anamskiliza yeye tu yani ndio maana ameweza kusema hawezi acha kazi akufate wewe.
Cha msingi tafta demu mpya tu na anza kujipunguza mapema maana ile statement ya "We sio type yangu" inakuja na haitokuacha salama mkuu!
Kabisa yani na ni bora kumwambia mtu ukweli. Naimani itamsaidia mno!Umejitoa sana mkuu naongezea tu
Tena atafute yule aliempenda kabsaaa ili amsahau kabisa
mmmhWa nini labda mana mii kuna ndugu yangu alichaguliwa mke na mkewe kweli akamuoa
Huyo demu kashaanza zakuleta, hawanaga maana hao watu!
Nijuavyo mwanamke anaekupenda sikuzote akijua huna raha atakufata hata kibiti ili akuridhishe ku nafsi wala hamnaga kipingamizi!
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Huyo demu muda si mrefu utasikia "wewe oana na huyo mchepuko na mimi huko kuna jamaa nimempata alikuwa ananitimizia haja zangu wakati uko mbali na anasema atanioa" Nyie wanawake nyie.. hivi nyie niwakusema kamtafute mchepuko? je, akimng'ang'ania?