Jamaa jembe kwel tunampa big up anapiga kimya kimya pemben hafalu wife mtarajiwa anapigwa pending kwa kujifanya ana msimamo kama wa bashite kumbe hamna loloteHuyo Jamaa nitumie namba yake nimrushie Vocha.. Amenifurahisha sana.. Demu katingisha kiberiti jamaa kakaza kweli
Ukiuona tu unaanguka na kuzimia mpaka jamaa site watu wa first aideahaaaa miss chagga huyu au Sky Eclat
Yan ndo ningekua mm unavua mwenyewe suruali sio kwa kukuchokoza huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli ntajikaza, maana wewe ndio ulianza kusema tusifanye so nakuonesha uwezo hadi asubuhi kimyaa!!
Na hata jamaa huwez jua labda ana pa kuponea pemben
Sky Eclat anakusalimia mkuu![emoji4][emoji4][emoji4][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ana tishia mtu mzima nyau akome, hata mimi namshauri jamaa akaze mpaka mwisho
ndo maana akili za viumbe nyie hazieleweki kabisa..................mnajifanya sitaki nataka kuweni na msimamo aaaaaaarghmdada akamwambia jamaa no sex till marriage jamaa akamwambia poa hata mimi nataka mwanamke kama wewe.
Imefika katikati mdada anataka kujaribu amemtega jamaa wewe hadi amelala kwake ila jamaa hapigi gemu kabisa na sasa anaprocess ndoa. Sasa huyu member mwenzetu anadai ana hofu anataka gemu kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan ndo ningekua mm unavua mwenyewe suruali sio kwa kukuchokoza huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I just like you, natamani kujua kama yule mlokole alionja asali yako. Manake na yeye hakutaka kufunua. BTW, hivi mdada kama wewe mwenye ukomavu wa fikra mtu anaachaje kufungua kifuniko cha asali na kuonja!!?Du hiyo special 'delivery to be opened on your honey moon' nayo inataka moyo, ukikutana na vituko huko na ndoa yenyewe ni ra Roman Catholic sijui unafanya nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sky Eclat anakusalimia mkuu![emoji4][emoji4][emoji4]
Hakufunua hata kidogoI just like you, natamani kujua kama yule mlokole alionja asali yako. Manake na yeye hakutaka kufunua. BTW, hivi mdada kama wewe mwenye ukomavu wa fikra mtu anaachaje kufungua kifuniko cha asali na kuonja!!?
Mkuu kwani wewe ni messenger?Sky Eclat anakusalimia mkuu![emoji4][emoji4][emoji4]
Hivi kwa generation yetu, mbona inakuwa ngumu kuvumilia hadi honeymoon ndio wafunue vifuniko?Hakufunua hata kidogo
Wewe ulisubiri?Hivi kwa generation yetu, mbona inakuwa ngumu kuvumilia hadi honeymoon ndio wafunue vifuniko?
Kazi ya umessenger naipenda kweli kweli![emoji1]Mkuu kwani wewe ni messenger?
Nakusubiri wewe...[emoji12] [emoji12] [emoji125]Wewe ulisubiri?
Tufanye halafu tuone tutafikia wap.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itabidi tufanye hilo jaribio
Special delivery sip nzuri hata kidogoHahah Jamaa Kapata Upenyo wa kuficha kibamia, safi sana endelea kubana!!
Kwani wakati anapanga hilo sharti alikuwa hajui kuna vibamia na mahogo ya jang'ombe? Nasema hivi, HATA SIJUI WANAWAKE WANATAKA NINI KWA MWANAUME...shetani anahusikaje .tamaa zake mwenyewe anaogopa kibamia labda