mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
We mtoto wa kichaga kibokoPesa yako tu
We mtoto wa kichaga kibokoPesa yako tu
Usijal mkuuWe mtoto wa kichaga kiboko
auAnaogopa kukuta kibamia baada ya ndoa .... au....
Yaani ni bahati mnoo wenzake wanaomba Mungu awape wanaume wa hivyo yeye analalamika .kusubiri ina raha yake sana na Mungu anaulinda huo uhusiano wenu na hata mkiingia kwenye ndoa mnakuwa mnaaminiana na mtaenjoy mnoooAisee kupata mwanaume wa hivi mida hii ni kama kuokota embe chini ya mchungwa.
Labda kaka wa watu ana nia nzuri ya kuji save until marriage maana suprise ina raha yake atii..
Ndio maana yake......au ngoma haisimami kabisa.!Anaogopa kukuta kibamia baada ya ndoa .... au....
Alale bila pichu kabisa.!Huyo jamaa anadhani bi dada yupo kumpima uvumilivu wake wa mitego ya ngono.
Huyo mwanamke anatia shaka nae uwezo wake kitandani, mwanamke utashindwaje kumtega mwanaume uliyelala nae kitanda kimoja, kama huwa analala na dela au suruari mwambie aanze kulala na pichu tu tena alkweke mashuka mengine libaki moja tu ambalo wajifunike pamoja, usiku ajifanye mlala vibaya amtundike jamaa upaja katikati ya miguu yake. Ajifanye anasikia baridi amkumbatie jamaa kwa nguvu yeye akiwa mbele jamaa kwa nyuma kiubavu.....jamaa akichomoka hapo kweli ana Mungu wake
Hapana sio wadada wote wanasupport hivi ni wachache sana kila mdada anapenda mwanaume atakayeheshimu hisia zake akisema no sex before marriage na atekeleze hivyo ..so wadada wenzangu nawashauri endeleeni kuwa na msimamo huo wa no sex before marrige kama ni mume wako Mungu amekupangia atakuheshimu na atakuoa na mtaenjoy sana kwenye ndoa yenu na Baraka za Mungu zikiwa juu yenuDah....huu mbona mtihani mwingine tena.
sisi wanaume tulimchagua mwakiloshi wetu baada ya nyie kupiga sana kelele suala la sex kabla ya ndoa hatimae tumelifanyia kazi sasa tena mbona mnatuangusha sasa,mnatugruka tena mnataka wenyewe?
Sisi tufanyeje jamani au sheria ya mwanzo ndiyo ifanyiwe kazi?