Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

Hahahahah Mpuuzi huyu hana mustendi ( msimamo)

Kudadadeki jamaa akatae akilazimisha
Apige mzigo asepe.

Na iwe dawa yake murua
 
mamba ipo baada ya marangu mtoni.. unajua yawezekana tunaongelea njia mbili tofauti ? me naongelea njia ya himo marangu mamba kisambo komakundi msaye mwika
Itakuwa ndo hio hio... Nilikuwa Nikipata zamani wakati tunaenda kupakia mahindi Tarakea. Ha ha ha ha.... Miaka ya 2000 na
 
Du hiyo special 'delivery to be opened on your honey moon' nayo inataka moyo, ukikutana na vituko huko na ndoa yenyewe ni ra Roman Catholic sijui unafanya nini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] katoliki ni shida eeeehhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom