Hujawahi pigwa na kitu kizito eeeHili janga la watu kushindwa kuandika vzr tunatengeneza kizazi cha aina gani huko mbeleni?
kujua kupenda ndio kosa lake mkuu, wanawake wanapenda wicked menHii couple nilikua naipendaa!!🥺
Huyu kaka anajua kupenda Aisee🙌
Hiki kitu hainaga mjuaji na mchawi ni kupenda baas , kama huwez kupenda hii kitu haiwez kukukutaHii issue ikiwa haijawahi kukuta unaichukulia poa, ila ikikukuta lazima ukae hata uwe mwamba vipi.
Ilinichukua mwaka kurecover baada ya kupigwa ambush ya maana mshenzi yule, hakika aliniweza.
Sisi wanaume hufikiri ukimpa mwanamke anachotaka akatakupenda na kutulia.Hii couple nilikua naipendaa!!🥺
Huyu kaka anajua kupenda Aisee🙌
Hayo maneno ya kuwa atakumbuka wena uliomtendea hayakusaidii wala kufidia muds na mali uliyopoteza kumsaidia. Yeye kisha fanikiwa anasonga mbele.View attachment 2928489
---
Kupitia akaunti yake ya Instagram Sutibega_ anaandika:
Wakati kakaangu @hajismanara anatafuta mke sahihi nilikuwa sielewi kwani niliambiwa wanaake wengi hawajui kushukuru hawajui thamani ya mtu anejitoa na kupambana hakuna siku nimeumia kama leo nakutambua kumbe nilikuwa daraja la mafanikio sikuwahi kujua maana halisi ya waliosema mwanamke hasomeshwi.
Wala usikubali kuweka nguvu yako kwake nikawa kipofu nakuona wenzangu wana wivu na ndoa yangu kweli nimeamini SIKU MOJA MUNGU ATAJUA NILIPO KUTOA NA ULIPO FIKA NA ATANILIPIA ANGALAU KWA DUA NJEMA MUOMBEE MKEO AFANIKIWE UJUE KIBURI CHAKE ILA WAKATI YUKO CHUO UNAPAMBANA NAE MPAKA MUDA MWENGINE UNALIPA ADA ADABU YAKE UTASEMA NIMECHELEWA NINI KUFUNGA NDOA NAKUOMBEA IKAWE BIASHARA KUBWA KWAKO AMINA.
NAJUA KUNA KIPINDI UTAKUMBUKA ULIPO TOKA NA ULIPO KWA SASA NA NANI ALISABABISHA WW KUFIKA HAPO WANAO KUJUA WANAJUA NILIPOKUTOA NA WANAO NIJUA WANAJUA NILIVYO WEKA MUDA WANGU NA AKILI KWAKO ILI UFANIKIWE KIBRI NA KUTO KUSKILIZA IMEKUWA SHIDA KWA MUDA MREFU WALO TUZUNGUUKA WANAJUA KIBRI NJE YA MTAND
Kenge mpaka atoke damu masikioni ndio anajua aneumia.Nahisi Instagram hawaruhusu kuweka aya na Nukta,
Anyway, Hili liwafikie wote wanaojitoa kwa wanawake nje ya uwezo wao ili wapendwe.
Endelea kumzoesha Demu wako Kwa kumpa kila anachotaka, Halafu siku na wewe uje useme ungejua, ikiwa leo hii una nafasi ya kujua..
Subiri ujifunze kwa ghrama kubwa.
Mohamed Yahya : Hatric ndani ya dk 8.