Mchumba haeleweki

Mchumba haeleweki

Mkuu,kama kuna Watu wanamuijia uchumba na kwel wapo sirias na wamekidhi vigezo vya kifmilia,basi hana budi akubali asijejutia hapo baadye,maana itafika wakati yeye ndiyo atakuwa anawatafuta Wachumba,badala ya kutafutwa,huyo jamaa anaweza akawa hayupo sirias kivile na mwisho wa siku akamzibia bahati inayokuja
 
Jambo la muhimu sana kwa sasa hasiruhusu mimba mpaka ndoa
 
weee hivi hii idadi ya single mothers hujaiona au huijui? trust me dalili njema haihusiani kabisa na swala la kubebeshwa mimba kabla ya ndoa
Mku atauuziwaje mtu mbuzi kwenye gunia wakati wote wanalengo moja
 
Ndoa huwa ailazimishwi aiseeeee.....
Ndoa ni jambo la kheri, na kheri ni mpango wa Mungu...
Alafu kwanini unaingilia mambo na mahusiano ya watu...!!? Mwisho utaja itwa mchawi aiseeeee
"NDOA hailazimishwi"
Umemaliza
 
Hahahaha unakutana na demu March Dec unatambulisha.
Ujinga Raha sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwanza mwambie atubu dhambi ya uzinifu then ampe Yesu maisha yake yy ndiye ajuaye destiny yake.
 
HII TABIA YA MABINTI KUJIACHIA KINGONO NA WANAUME ZENU KABLA YA NDOA INAWACOST SANA NA HAIMPI MWANAUME SHAUKU YA KUOA.

WEWE UNAENDA KWA DUME MNALALA KILA SKU USKU KUCHA MNAFANYA YOTE, THEN ANAKUJA KWAKO ANALALA PIA... SASA, KWANZA NI RAHS KUKUCHOKA NA HAON JIPYA KWAKO.

MWANAMKE LAZMA UMWEKEE MPK MCHUMBA WAKO KTK KUTUMIA MWILI WAKO.. MTOTO WA KIKE KABLA YA NDOA UNAPATA WAPI UJASIRI WA KULALA KWA MWANAUME SKU KADHAA? KAMA ANATAKA HZO HUDUMA AKUOE MFANYE MENGNE

KAMA TU KUTAMBULISHANA KWA WAZAZ ANALETA VKWAZO, HYO NDOA CDHAN KAMA ITAKUWEPO.. MSISITZE NDUGU YAKO, ASITHUBUTU KUBEBA MIMBA, ITAKULA KWAKE.
 
Mwambie ajifanye ana mimba halaf amuone jamaa kama ni muoaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom