Mchumba haeleweki

Mchumba haeleweki

Yani mwanaume akiwa yupo tayar utamjua tu ila 28 napo jua linazama
 
Anapoteza watu walio serious kumuoa kwaio point ya msingi ni kuolewa nahisi ndo tatizo lilipo wanawake wanapaswa kuelewa kwa mwanaume kuoa ni kifungo wakati kwa mwanamke kuolewa ni furaha kwake..kwaio lazima ufikirie mara mbili mbili juu ya hilo swala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom