Mchumba haeleweki

Mchumba haeleweki

all i can say ni kwamba wanaume linapokuja swala la kuoa wengi wao hupata 'cold feet' kwa muda then baadae hukaa sawa, so may be atatekeleza or anaweza asiwe muoaji vile vile, cha msingi mshauri mdogo wako asithubutu kubeba mimba tena ASITHUBUTUUU
 
Nina Mdogo angu anamchumba wake wamekuta tangu march mwaka huu wamekua wapenz na kuahidiana ndoa Dogo ana 28 jamaa yake ana 35yrs
Mwez wa 8 Mdogo angu alienda short course jamaa akamwambia ukirudi tu tunatambulisha kwa wazazi
Aliporud kimya wakaendelea na mapenz akaamua tu amsikilizie kwanza jamaa akawambia DEC tutaanza utaratibu wa kutambulisha....anasema kimya kajaribu kumuulizia vp kwenu tunaenda ln??? Hakutoa jibu lolote
Ila anadai jamaa wapo vizur tu hawana ugomvi jama akijisikia anaenda kulala kwa dogo
Hata Dogo akiamua anaenda analala kwa Shem....mipango ya badae wanapanga wote... Tatizo ni hilo tu jamaa kwa umri alionao angetakiwa awe na familia
Dogo anaogopa kubeba mimba maana wanajiachia tu alafu pia anapoteza watu walio serious kumuoa kwa kuhofia kumkosea mpenz wake
Anaomba ushaur jaman
Kwa ahiyo wewe ni Ke au Me au wewe ndiyo uliyejiozesha kwa huyo Mwanaume bila ridhaa ya Wazazi sasa unataka uhalalishe Uzinzi wako.. Jamaa acha aendelee kukupiga dushelele tu hivyo hivyo mbona ni poa tu..
 
March tu, unaleta Uzi?

Ila huyo jamaa naye 35 yrs bado tu anawaza au kuchunguza?

Avute subira kidogo. Mwisho wake utuletee mrejesho.
 
Yani umeshindwa kumshauri mdg wako kwny issue ndogo hivi?!
 
Kama mchumba haeleweki,ajaribu sebule tu labda itaeleweka.[emoji124][emoji124]
 
Leave her to hustling for a marriage....[emoji16] [emoji51] [emoji119]
 
Hapo ktk kumbebesha hiyo mimba ni moja ya kipimo cha mtu aliyezamiria jema.
weee hivi hii idadi ya single mothers hujaiona au huijui? trust me dalili njema haihusiani kabisa na swala la kubebeshwa mimba kabla ya ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom