Kumbe, huo mrejesho sikuupata. Lakini on a serious note kama yaliyomtokea huyu dada ni ya kweli watu wanaomfahaumu wanahitaji kuwa naye karibu. Psychologically yuko distorted anaweza kufanya kitu chochote. Ana risk factors nyingi kwa wakati mmoja, usishangae siku sio nyingi akawa psychiatric patient.
1. Amekosa ndoa
2. Mume kamkataa
3. Amefukuzwa kazi
4. Mzazi kamkataa
5. Ni mjamzito