Mchujo wagombea urais chuo kikuu mwenge-moshi umemalizika na chadema kuteka ngome.

MWANAKASULU

Senior Member
Nov 18, 2011
195
67
TAR.4/5/2012.TUME YA UCHAGUZI 2012 CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI IMEFANYA SCREENING YA AWALI KWA WAGOMBEA URAIS NA UMAKAMU.WAFUATAO WALIKIDHI VIGEZO VYA TUME YA UCHAGUZI.NA TAR.5/5/2012 JANA UTAWALA PAMOJA NA TUME YA UCHAGUZI ILIWAFANYIA INTERVIEW(SCREENING YA PILI).
JINA NAFASI
1.THOBIAS N. LAIZER PRESDENT
NEEMA T. ULUNGI VICE PRESDENT.

2.MUSSA MAKANG`A PRESDENT.
ZAWADI PONERA VICE PRESDENT

3.KOMBA ISSAYA GABRIEL PRESDENT
YEYE HAKUWA NA MGOMBEA MWENZA.

4.GELASIUS R. NGAYA PRESDENT
HADJA I. SAIDI VICE-PRESDENT.

WATAKAO INGIA KWENYE KINYANGANYIRO CHA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2012 NI WAFUATAO WALIOKIDHI NA KUFAULU INTERVIEW ILIYOFANYIKA KWA MASAA SITA.
JINA NAFASI MARKS ALIZOPATA.
1.GELASIUS R.NGAYA PRESDENT 39.
HADIJA I.SAIDI VICE PRESDEN 38.

2.MUSSA MAKANG`A PRESDENT 34.
ZAWADI PONERA VICE-PRESDENT 35.

WAFUATAO WALISHIRIKI KUSIMAMIA ZOEZI LA INTERVIEW KWA UHURU NA UWAZI.AMBAO NI 8 WAWAKIRISHI WA MANAGEMENT YA CHUO PAMOJA KAMATI YA UCHAGUZI.
NAME POSITION AT MWENGE UNIVERSITY.
1.Dr.John.R.BAKARI Deputy Pricipal Academic Affairs.
2.Dr.Philip Leoni Kireti Dean of Faculty of Education in Arts
3.Dr.Zachariah K.Rulangaranga Dean o Faculty of Education in Science
4.Dr.Wilhelm Malasi Lecturer in Chemistry.
5.Adalbert Lumya Donge (Fr) Deputy Principal Planning and Finance.
6.Fr.Kamuli Dean of Students.
7.Fr College Advocate.
8.
9.Abel Dendwa Electoral Committee Chairperson2012.
10.Wajumbe wote wa kamati ya Uchaguzi.

Note.Kila Mgombea alihojiwa maswali mbalimbali kwa dk.30.Swali ambalo aliulizwa kila mmoja ni kuhusu HALI YA SIASA NCHINI na kuulizwa ni mwanachama wa chama gani? kila MGOMBEA kwa wakati tofauti alijibu Kwa kujiamini bila kuogopa chochote kuwa ni mwanachama na mpenzi wa CHADEMA.Hali ambayo wajumbe wote wa kikao takribani dk 2 walicheka na kunong`ona kwamba kweli CDM imeshika kila kona japo natambua kuna maDr wawili ni CCM ila walikubali majibu kwamba kati ya wagombea 7 wote wanasema ni CDM hii ni ishara kuwa wanafunzi wote hapa ni CDM.Na Ijulikane tu kwamba hao wote waliopita ni wanachadema na baadhi yao wananyazifa kwenye tawi letu la CDM hapa chuoni.KAMPENI ZITAANZA RASIMI J3 TAR.7/05/2012. NA UCHAGUZI J5.hata Serikali iliyopita ilikuwa ni ya CDM ndio maana bunge la kuvunja serikali ya wanafunzi ilipofanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa tume na wajumbe mimi nilichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa tume na Mimi ni Mwenyekiti CHADEMA hapa chuoni.HAKIKA HIKI CHUO KITATENGENEZA WABUNGE WAZURI WA CDM NA VIONGOZI KWA UJUMLA.EE MUNGU IBARIKI CHADEMA NA WATANZANIA KWA UJUMLA.
NI MIMI MWENYEKITI
TUME YA UCHAGUZI 2012 CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI.
------------------------------
ABEL DENDWA NDIMANYI.
 
Asubuhi kama hii na habari kama hizi hutabiri Siku Nzuri
 
Naikubali sana Mwenge university pana mzizi imara wa chadema. Nakumbuka yuko jamaa mmoja (kama muarabu flani hivi) alimchana live Mh Sitta na Mwakyembe kwenye mdahalo wa kumbukumbu ya Mwl nyerere pale Muccobs kuwa nao ni mafisadi maana wako ndani ya ufisadi. Nilipo mfuatilia nikaambiwa ni Mchadema wa Mwenge.
Kazeni buti makamanda mpaka kieleweke.
 
Shabikieni siasa halafu msahau kusema muone.Maliza chuo ndo siasa ifuate.
 
Saluuuute Makamanda! Ukombozi umekaribia, CHADEMA hakuna atakayeizuia kuingia Ikulu 2015
 
Kila kitu chadema, hadi ukitaka kuuza vitunguu chadema, ukitaka kuuza nyanya chadema, ukitaka kuuza karanga chadema. Chadema imeshakuwa trademark. Halafu wewe kaka acha kudanganya watu. Mwenge nani kakuambia kuna siasa, wale wanachaguliwa kutimiza torati tu. Hawana sauti wala ushauri si kwa wanafunzi tu hadi kwa utawala. Punguza uongo.
 
shabikieni siasa halafu msahau kusema muone.maliza chuo ndo siasa ifuate.

hapa hakuna siasa bwana, wanaongopea tu siasa. Mwenge hawanaga uongozi wa wanafunzi, wana vibaraka na mapapet wa utawala wa chuo. Halafu huyu abel anaonekana hajui sheria ya vyuo vikuu tz.
 
Shabikieni siasa halafu msahau kusema muone.Maliza chuo ndo siasa ifuate.

Duh! "..kusema.." hii ndo nini mkereketwa wa Magamba sijakusoma vizuri! Kwa kukusaidia naamin ulilenga kusema "kusoma" lakin sijui wewe una ufahmu wa kiwango gani kwa sababu siasa ni part and parcel of life hata katika familia, maisha yako binafs, kampuni etc it is intergrated into each area and we do practice it all the way in our life. So sijui wew uko chuo kufanya nin ili hali haujitambui!
 
Ebwanaaaeeeh, ama kweli chadema tumewabamba magamba. Nimependa slogan ya VUA GAMBA VAA GWANDA. Imetulia
 
Back
Top Bottom