Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,915
- 59,962
Sitaki, nataka kipakatwa pajani!!
Hahahaha. . . haya njoo utumie yangu.
Sitaki, nataka kipakatwa pajani!!
kipipi! Hujui mi ni under 18?We Bishanga wewe......I hate you softly......ukitaka mchina nitakuzalia tena mwenye protection ya Aloe vera kabisaaa!!!
we kongosho wewe!......i love you......naomba unizalie.....
nakuaminia kamanda NN! You know what, hakuna kitu na admire kama brain,we ni kichwa aisee,hoja zako zimesimama hata kama sikubaliani nazo all the time, lakini nina appreciate thinking ability yako. Hakuna kitu napenda kama mental acrobatics,!
mbona hujajibu post yangu ya saa 20:50 pm leo?
Bahati yako ya mtende......umeogopa ngumi za ugoko eeh?? We endelea tu kulopoka!
Siku hizi sipigani bana
kipipi! Hujui mi ni under 18?
Hahahaha. . . haya njoo utumie yangu.
Ngoja nipitie kabisa na kiepe ili nije kuangalia kwa raha zote!!
Hizo ni za akina KIPIPI tamu.
Sie yetu macho, Twaola tu.
Siku hizi sipigani bana
Alafu wewe. . .
Nani anakununulia kiepe cha Vale?Besti maridadi hana mtu. . . .
Hahaaaa.......besti maridadi kajifanya kunisusa, anafikiri mi nitadoda?? Mpe pole yake!
Jamani. . .kwahiyo humtaki?
Simtaki.....mapenzi gani ya valentine day tu! Lol
Hahaha. . .
Mbona anakupenda zamani bana. . .au mapenzi kwako ni viepe?Lolz . . haya kesho namnunulia gunia la viazi na ndoo ya mafuta. . ushindwe mwenyewe!!