Mchuano wa majike ya bamkubwa na madume ya baba yangu.

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Mchuano huu ni wakiuchumi zaidi.
Ba'mkubwa ana watoto wake wakike wa4,mwenyewe hupenda kuwaita majike,na wote wameolewa na wanamaisha Safi kwenye miji yao. Mzee huyu hana mtoto wakiume hata wa nje yandoa.

Baba yangu ametuzaa madume wa5,huku wenzangu wa4 wakiwavizur kiuchumi kutokana na kazi zao wanazofanya.Pia mzee hana mtoto wakike hata wa nje yandoa.Wote tumeoa.

Kule kijijini familia hizi mbili nimajirani kabisa.

Sasa jambo linalozua mjadala pale kijijini nijinsi ambavyo ba'mkubwa alivyo namaendeleo mazuri kiuchumi ambapo yamechangiwa Sana na wale watoto wake wakike.Mzee kajengewa nyumba nzuri Pale kijijini pamoja na vitegauchumi ambavyo vinamfanya mzee ajimudu vema.

Pale kwetu pa1 na mzee kutuzaa madume wa5 Ila ukweli hatupo vizuri kimaendeleo kulinganisha na ba'mkubwa.

Hapa mjadala nikwamba watoto wakike nimsaada kwa wazazi kuliko wakiume.
Wengi Wanadai ukiwa na watoto wakike wa4 walioolewa nisawa na uko nawatoto8(waume zao wanakuwa wanao pia).
Hebu hili nalo tuliangalie.
Wasalaam!
 
Watoto wengi wakiume akili zina shida wanajenga na kusaidia sana ukweni yaan mtoto wa kike akimshikilia vizuri mmewe amgeuze kibra aise wakwe wanaogelea mihela
 
Mchuano huu ni wakiuchumi zaidi.
Ba'mkubwa ana watoto wake wakike wa4,mwenyewe hupenda kuwaita majike,na wote wameolewa na wanamaisha Safi kwenye miji yao. Mzee huyu hana mtoto wakiume hata wa nje yandoa.

Baba yangu ametuzaa madume wa5,huku wenzangu wa4 wakiwavizur kiuchumi kutokana na kazi zao wanazofanya.Pia mzee hana mtoto wakike hata wa nje yandoa.Wote tumeoa.

Kule kijijini familia hizi mbili nimajirani kabisa.

Sasa jambo linalozua mjadala pale kijijini nijinsi ambavyo ba'mkubwa alivyo namaendeleo mazuri kiuchumi ambapo yamechangiwa Sana na wale watoto wake wakike.Mzee kajengewa nyumba nzuri Pale kijijini pamoja na vitegauchumi ambavyo vinamfanya mzee ajimudu vema.

Pale kwetu pa1 na mzee kutuzaa madume wa5 Ila ukweli hatupo vizuri kimaendeleo kulinganisha na ba'mkubwa.

Hapa mjadala nikwamba watoto wakike nimsaada kwa wazazi kuliko wakiume.
Wengi Wanadai ukiwa na watoto wakike wa4 walioolewa nisawa na uko nawatoto8(waume zao wanakuwa wanao pia).
Hebu hili nalo tuliangalie.
Wasalaam!
Kwani mzee wako aliwahi kulala njaa,huyo bamkubwa kala hasara,hana ukoo akifa ukoo umekufa ila mzee wako amefanya ile multiplication yake kwa kuzaa vidume,mali zinapita ila ukoo haupiti utadumu milele
 
Back
Top Bottom