Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 708
- 1,270
Huyo Mwigulu hawezi kupata hiyo nafasi.Swali ni moja tuu, jee ni Mkatoliki?.
P
Huyo Mwigulu hawezi kupata hiyo nafasi.Swali ni moja tuu, jee ni Mkatoliki?.
P
Ili uwe hapo inabidi uwe mkatoliki haswaa wala siyo hawa wa magumashi mseminariDini sio baba wala mama, atabatizwa,atapata kumunio na kipeimara na kuwa mkatoliki kabla ya 2030..Tumemaliza
Huyu sasa ndo Rais ajae BashungwaSasa unavyosema uondoe nguvu ya hao watu una maana gani,hivi bila nguvu za hao watu MTU gani mzima mwenye akili timamu .
MsabatoKwani Mwigulu kanisa gani?
Hii tumemaliza ni wewe na nani embu tuambie hapa 😄Dini sio baba wala mama, atabatizwa,atapata kumunio na kipeimara na kuwa mkatoliki kabla ya 2030..Tumemaliza
Kikubwa ni Aliweka mizizi ndie atakaechukua nchiSasa unavyosema uondoe nguvu ya hao watu una maana gani,hivi bila nguvu za hao watu MTU gani mzima mwenye akili timamu anaweza kumchagua Mwigulu asiye na uwezo hata wa kupresent hoja awe Rais na ni tahira gani anaweza mchagua Makamba form 4 failure awe Rais.
Hao wenye nguvu watawahitaji Mwigulu na Makamba kulinda masilahi yao na sio kwa uwezo walionao.
Ni Mara 100 achuguliwe Bashungwa kuliko hao jamaa.
Na ndugu mgombea urais 2030Hii tumemaliza ni wewe na nani embu tuambie hapa [emoji1]
DuuhMsabato
Kiufupi nimeanza kuelewana dhana ya upingaji wa waraka wa TECIli uwe hapo inabidi uwe mkatoliki haswaa wala siyo hawa wa magumashi mseminari
Sitting president hawekewi mpinzani kwenye chamaMwaka 2025 nani atagombea kupitia ccm
BaelezeeSitting president hawekewi mpinzani kwenye chama
Kishasema nyuma ya pazia kwamba hatogombeaSitting president hawekewi mpinzani kwenye chama
Acha kuuliza ndizi bukoba.Mwaka 2025 nani atagombea kupitia CCM?