Mchuano wa 2030 ni Mwigulu vs Makamba

Mchuano wa 2030 ni Mwigulu vs Makamba

Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda, Kinana, Makamba senior, Kikwete, Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi, generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.

Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.

Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.

Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030, kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania. Mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto, wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.

Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni, hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna CCM asilia na CCM wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.

Mshauri wa masuala ya ndani sana.

Kuna siku mtanielewa tu.

View attachment 2729749
CCM asaivi ndiyo lugha gani hii?

Asaivi
 
Hapo atakayefuata ni mkristo,tena mseminari,rejea Mkapa,alikua x-seminarian,ukija Ngosha,alikua mkristo,tena mseminari,atakayekuja lazima awe mkristo,mkatoliki tena mseminari.Kwasasa nguvu ya TEC iko wazi kabisa na wako macho kwelikweli.Walikua indirect,lakini DP WORLD imewaibua,nasasa watakua FRONT.Na ijulikane,hao TEC,wana watu wao kuanzia Ikulu hadi ngazi ya familia,bila kusahau hata misikitini,na huko kwenye madhehebu mengine,wakiitwa majina tofauti,lakini ni wakatoliki.
Yes na hilo ndo jibu
 
Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda, Kinana, Makamba senior, Kikwete, Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi, generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.

Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.

Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.

Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030, kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania. Mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto, wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.

Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni, hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna CCM asilia na CCM wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.

Mshauri wa masuala ya ndani sana.

Kuna siku mtanielewa tu.

View attachment 2729749
Umemsahau Kasheku Musukuma nae kasema atavuta fomu 2030 na anijiapiza kushinda
 
rais wa mawe (2015 rais) na rais wa vinyamkera (20......) ndoto tupu na uchawi mwingi. Hakuna hata mmoja kati ya hao atakayepata urais, keep the reaction for reference.
 
Kwanza wanatudharau sana watanzania kutuletea hivo vilaza kama wagombea wajao wa uraisi
Ni dharau kubwa sana kwa nchi yetu
 
Mleta hoja p*mbafu
Na wote uliowataja nao ni Maj*zi hakuna mtanzania anayejitambua anayweweza kuwachagua hao type kuwa ma☆Rais wa nchi hii.

Samia katuumiza sana kwa kutuuza kama njugu!
 
Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda, Kinana, Makamba senior, Kikwete, Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi, generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.

Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.

Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.

Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030, kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania. Mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto, wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.

Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni, hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna CCM asilia na CCM wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.

Mshauri wa masuala ya ndani sana.

Kuna siku mtanielewa tu.

View attachment 2729749
msimpangie Mungu, hata magu tuliambiwa ataishi hadi 2030. tuzidishe tu maombi kuombea hili Taifa.
 
Mwigulu akiingia Ikulu watanzania tutalimia meno na wapinzani atawanyonga wengi sana yule sio mtu wa mchezo mchezo kumwaga damu kwake sio issue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hapo hakuna hata mmoja?
Rushwa tupu hapo hakuna wa kuweza kuwa Raisi.
Kama taifa tungalie watu wenye MAONO, UWEZO na HEKIMA
 
Back
Top Bottom