Mchuano wa 2030 ni Mwigulu vs Makamba

Mchuano wa 2030 ni Mwigulu vs Makamba

Mkuu utukufu mwanjisi, kwa huyu, nakuunga mkono, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Swali ni moja tuu, jee ni Mkatoliki?.
Swali la pili lazima afafanue vizuri hii issue Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Hivyo he can make a good president, but if the best is what we need, then JM is the best!, January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
P
Chawa wa JM
 
Hao wote wataangukia pua. Rais ajaye anatokana na hawa hapa.

1. Hussein Bashe
2. Innocent Bashungwa
3. Juma Aweso
4. Dotto Biteko
5. Jerry Slaa
6. Sulemani Jafo
7. Tundu Lissu

Sisi ambao tuna maono tunawahabarisha.
 
Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda, Kinana, Makamba senior, Kikwete, Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi, generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.

Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.

Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.

Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030, kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania. Mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto, wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.

Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni, hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna CCM asilia na CCM wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.

Mshauri wa masuala ya ndani sana.

Kuna siku mtanielewa tu.

View attachment 2729749
Una uhakika CHICHIEM itakuwepo?
 
Binadamu anapanga Mungu anaamua
 
Yetu macho ila kama ulivyokuwa huwamini Dotto Biteko angelamba shavu lakuwa boss wa mawaziri ndivyo 2025 vs 2030 itakavyo kuwa. Stay silent 🔕.. punguza mbwembe
 
Back
Top Bottom