GE2025 Mchinjita: Raia kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali iseme ni Wasiojulikana, hiyo ni Serikali au Takataka?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ustaarabu kuchukuliwa kwa hatua stahiki na madhubuti za kukomesha hayo mambo ya kiwaki.
Inasikitisha sana. Kwamba Watu kuuwawa na kupotezwa sio issue....ila issue ni kwa mtu aliyepoteza mtu wake anapolalamika kwa hasira.
 

..Nimekuelewa.

..yote uliyosema ni ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…