Mchina noma!

Mchina noma!

Nunua hizi, tutakusifu tuuuu......

nearly-me-nme001-17-200-gsz.jpg
Hahaha hizo kuna muda zitaniumbua tu. Coz ntatakiwa kuivua, ndo dili litakapoharibika hapo
 
Uwiiii nilikuwa nimaplan yakuongezea hiki kiflat changu ila ngoja tu niache
 
Wanaume Mazezeta sana sisi. Ukishafika kitandani, kila kitu kinabaki juu yako maana umeshaweza kuvua.

Sasa ukishindwa kuli-control, Buzi litakata kamba. Ukishampa mautundu hadi akapagawa, haki ya nani atakupenda hivyohivyo na Uflat Screen wako. Kama nyumbani ni Mzembe, basi hata kama una Neema za Allah, bado utakuja kushangaa Bwana wako kampenda Shoga/Dume ingawa lenyewe ndiyo Curved screen maana siyo flat tena na UNYOYA juu ya paja, ahhhh..... Men we are ugly 🙁 Sijui nyie Wanawake mnaona nini.... Hormons tu zinawasumbua ...

Hahaha hizo kuna muda zitaniumbua tu. Coz ntatakiwa kuivua, ndo dili litakapoharibika hapo
 
Wanaume Mazezeta sana sisi. Ukishafika kitandani, kila kitu kinabaki juu yako maana umeshaweza kuvua.

Sasa ukishindwa kuli-control, Buzi litakata kamba. Ukishampa mautundu hadi akapagawa, haki ya nani atakupenda hivyohivyo na Uflat Screen wako. Kama nyumbani ni Mzembe, basi hata kama una Neema za Allah, bado utakuja kushangaa Bwana wako kampenda Shoga/Dume ingawa lenyewe ndiyo Curved screen maana siyo flat tena na UNYOYA juu ya paja, ahhhh..... Men we are ugly 🙁 Sijui nyie Wanawake mnaona nini.... Hormons tu zinawasumbua ...
Sio mazezeta bana, ila kumpenda mtu ni combination ya Vitu vingi. Kwa hiyo mtu anaweza akawa wa kawaida sana kwa appearance yake, but akawa na Vitu vingine vya ziada ambavyo ndo vikakuteka zaidi. Shepu nzuri, sura sijui wezere ni fantasy tu. Mapenzi ni zaidi ya muonekano wa nje
 
Amina!!!!

Back
Top Bottom