Mchina noma!

Mchina noma!

Na tutakomaje kwa mfano, manake Kila sekunde nyie vidume ni kusifia neema za Allah. Na Sisi tutazitafuta tu kwa nguvu zote, surgery ikibuma basi ni ajali kazini teh teh

ha ha ha umetoa ya moyoni mama! kweli wanatusababishia wenyewe
 
cha ajabu wachina wenyewe hawatumii...wanawake zao wapo kama makopo ya rwenzori lakini their lives moves of sisi sasaaa mara oooh kama masogange! mara nataka inch 12..what for?
 
Nunua hizi, tutakusifu tuuuu......

butt.jpg


Hahaha wewe ndo utakuwa wa kwanza kuzishuhudia live bila chenga
 
Back
Top Bottom