Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
ahaaa kumbe ni kweli?Hii ilileta fedheha kubwa sana kwa mabosi wa zoo, huyo ni mbwa ajulikanae kama Mastiff ni mkubwa sana.
ahaaa kumbe ni kweli?Hii ilileta fedheha kubwa sana kwa mabosi wa zoo, huyo ni mbwa ajulikanae kama Mastiff ni mkubwa sana.
UmeonaeeeHahahahaaa! Ndiyo hivyo hana jinsi
Shortage of funds ingawa walikataa kuwa sio kweli, yaani sio huyo mbwa tu hata white fox walimuweka kama chui.ahaaa kumbe ni kweli?
Amna mkuu kwani simba ana miguu ka fito?Watalii wamemaindi kinoma 😀 😀 😀 😀 .ila mchinaa nimemvulia kofia.yaani huyo mbwa kama asingekuwa ana bweka hauwezi kumtofautisha na simba.
Sasa waliwaza nini mpaka kufanya hivyo.Amna mkuu kwani simba ana miguu ka fito?
Watalii wamemaindi kinoma 😀 😀 😀 😀 .ila mchinaa nimemvulia kofia.yaani huyo mbwa kama asingekuwa ana bweka hauwezi kumtofautisha na simba.