mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,126
- 58,857
Watalii wamemaindi kinoma 😀 😀 😀 😀 .ila mchinaa nimemvulia kofia.yaani huyo mbwa kama asingekuwa ana bweka hauwezi kumtofautisha na simba.Afadhari hivyo kuliko kuchukua simba wetu
Wanajua kutumia fursa hawa jamaaMchina kwa vitu feki anaongoza
We acha tu.hawa watu mwisho.Sasa si atakuwa anaelemewa na hayo manyoya.
Kumbuka mbwa karibu wote wana makengeza simba hana hivyo wangemtambua tu.Watalii wamemaindi kinoma 😀 😀 😀 😀 .ila mchinaa nimemvulia kofia.yaani huyo mbwa kama asingekuwa ana bweka hauwezi kumtofautisha na simba.
wamefoji ha hahaha
Hahahaaa! Ngoja wenyewe wakusikieSimba wa Msimbazi huyoo..!
Akome kuzaliwa chinaSasa si atakuwa anaelemewa na hayo manyoya.
Hahahahaaa! Ndiyo hivyo hana jinsiAkome kuzaliwa china