Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Ulaya

Kikwete aliwahi kusema kuwa ukisoma au ukisikia kitu Usikipokee kama kilivyo changanya pia na akili zako.

Hivi unaamini wazungu wana IQ kubwa kuliko waswahili? Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kaa bungeni na kupitisha sheria ya watu kuoana wa jinsia moja na kuipigia debe dunia nzima?

Wazungu wamekubaliana kuwa kuparamiana watu wa jinsia moja ni kitu sahihi.IQ ZAO ZIKO JUU?
 


Nisome vizuri labda utanielewa, najinukuu ukusadia ,,najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!
 
Media na waandishi wa habari naona gumzo limekua mchina kushika nafasi ya pili na kupata B ya kiswahili, mbona mshindi wa kwanza hawamzungumzii au kwa kua yeye si mchina!?

Ulimbukeni huu jaman,mchina anapewa airtime sana kuliko mtanzania
 

Ukijaribu kuangalia mleta uzi na wewe mmeungana katika hoja, sina shida na hilo ila sijui mnachoshangaa ni nini wakati mnasema waafrika weusi wana IQ ndogo ikiwepo na Magufuli. Sasa kama hilo ni kweli huoni hata huyo Magufuli akipingwa ni sawa kwani ni wazo la mtu mwenye IQ ndogo kutokana na rangi yake? Jamani mnajaribu kumsifia Magufuli mpaka mmefikia mahali mnaweka kashfa ili hoja zenu zikubalike za kumsifia Magufuli? Huwa mnashangaza sana, mnalazimisha kusifia tu, lakini akiambiwa ukweli kwamba ni kipi kikubwa alichofanya ambacho mwananchi anaweza kusema wangalau sasa anaona tofauti kwenye maisha yake, mnaishia kusema bado ni mapema!! Sasa kama ni mapema sana kwanini mumsifie kupita kiasi wakati bado ni mapema?
 
Hivi kwani watanzania wangapi kila mwaka wanapata A au B za lugha ngeni kama Kiingereza, Kifaransa zinazofundishwa mashuleni hadi leo iwe nongwa hivi mchina kupata B tu ya kiswahili?


Kusema ni Waafrika wangapi huongoza ni rahisi sana kila mtu anaweza kusema na ndiyo maana nikatoa changamoto kama yupo Mwafrika Diaspora aliongoza huko aliko nchi nzima mtaje, ni rahisi kivivyo tu!
 

Wakati mwingine huwa unakosa hoja mpaka unageuka kituko. Hivi sisi watanzania na ugumu wote huu wa maisha tuache kufanya na kufuatilia mambo ya msingi kubadili maisha yetu, tukae tunafuatilia diaspora gani ameongoza mtihani huko majuu? Halafu ukishajua ndio utakuwa umesonga mbele kimaendeleo. Mbona kama mnaleta hoja za kitoto halafu mnataka muishie kusifiwa kwa utoto wa aina hii?
 


Na ndiyo hapo swala la IQ linapokuja sasa, kwa jamii nyingine mtu hawezi kumuhukumu Raisi aliyok madarakani kwa muda wa miezi 3 tu kwamba hajaboresha maisha, hakuna jinsi ambavyo unaweza kulielezea jambo kama hili isipokuwa uwezo tu mdogo wa kufikiri siyo tusi ni ukweli TU!
 
Sijaelewa hapo kiini cha thread yako ni ipi! Ni IQ au Sukari au Mchina kuongoza kiswahili!? Au ni tangazo la Magufuli kustopisha sukari kutoka nje!?
 
jinsi alivyokaa na kuubalance mwili wake ukilinganisha na watangazaji wetu, ni dhahili sisi ni wavivu wa mwili mpaka akili labda!
Mkuu unaona beyond mazoea.
 
hii mada yako inahusu siasa au huo utafiti?
weusi kwa wastani wana uwezo mdogo wa kufikiri ila mambo ya kumpinga/kumuunga mkono magufuli hapa nadhani sio relevant
maana anayepinga hili suala la kuzuia sukari kutolewa nje yupo sahihi kwa kua itapunguzia ushindani kwa viwanda vyetu na na efficiency pia itapungua
magufuli nae yupo sahihi pia kupiga marufuku kutasaidia kuvibeba viwanda vya ndani
so anayepinga na anayeunga mkono wote wapo sahihi kwa namna moja au nyingine na sio kusema wana iq ndogo
 
Kama anaishi Tanzania sio mchina no mtanzania mwenye asili ya china
 
Tunanunua magari ya mabilioni ya shilingi kwa ajili ya wabunge na mawaziri, wakati wanafunzi wanakaa chini, wanaanza kupata matatizo ya mgongo kabla hata hawajafikisha umri wa kubalehe!!. Tuliua mashirika ya umaa mengi sana halafu unamsikia mwanasiasa akilalamikia ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana!!. Ukweli unaposemwa wenye hasira za haraka hukasirika lakini wenye kutafakari mambo huwa wanamshukuru Mungu kwa kujua waanzie wapi katika utatuzi wa matatizo mengi.

IQ zetu zina mushkeli, mtu anamlaumu waziri wa afya kwa sababu ya uchafu ulioko nje ya nyumba yake, lakini jioni anakwenda bar na kunywa bia zaidi ya tatu na anawapa ofa marafiki zake, wakati ile fedha aliyoiacha pale bar angeweza kununua vifaa vyote muhimu vya usafi.
 
Tayari wewe mwenyewe umeshaprove kuwa IQ ya weusi ni ndogo, andiko lako linachanganya mambo, issue ya sukari unaileta vipi kwenye issue ya IQ?
 

Ila kwa IQ hiyo hiyo ndogo unaweza kuanzisha hata post 10 kwa siku kusifia kupitia kiasi alichofanya kwa hiyo miezi 3!!! Aibu nyingine mpaka basi.
 


Ingawaje nisingependa kuigeuza hii mada kuwa ya sukari huwo nimetoa kama mfano tu, yaani kwenye nchi za Jamii nyingine kama Asia, Ulaya, Marekani n.k sababu aliyoitoa Raisi haikupaswa kuwa hoja hata ya kujadiliwa, kwa maana Raisi ameeleza sababu kuamua hivyo nayo ni kukuza kwa kuviwezesha viwanda vya ndani na kila mtu mwenye IQ ya wastani Dunia hii anaelewa kwamba nchi zote kuanzia Marekani, Ulaya, Japani hata Uchina hujenga sera za kulinda viwanda vyake vya ndani kwanza hasa pale vinapokuwa kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo!

Mpaka mwaka 1945 Marekani walikuwa wanafanya protectionism yaani walikuwa hawaruhusu ushindani ktk nje na wamekuja kuruhusu ushindani baada ya Vita Kuu ya Pili kuisha baada ya kuona sasa wamekosa mshindani yaani walivyoona kwamba sasa viwanda vyao vina competetive edge ndiyo wakaruhusu ushindani ktk nje, hata Uchina leo hauwezi kuwekeza Uchina kwa 100% ni lazima uingie ubia na Kampuni ya Uchina na hili linaeleweka Dunia nzima isipokuwa hapa kwetu TU na anachotaka kufanya Raisi Magufuli hakina tofauti na kinachofanyika Dunia nzima ila tofauti ni kwamba Dunia nje na kwetu kinaeleweka lkn hapa kinapingwa!
 
...mi Tanzania ndivyo tulivyo.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…