Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 508
- 470
Na ukitaka dunia ikuheshimu basi uwe mtu wa kufikiri, . . .
Akatolea mfano wa wale vichaa waliopo karibu na mbuga za wanyama ktk njia kuu ya morogoro road kuwa wale vichaa huwa hawafikiri uwezo wao kufikiri haupo ndiyo mana simba huwa anawaogopa, simba hana hbr na vichaa/ mtu asiyefikiri.. Ndiyo mana unamkuta kichaa akisavaivo bila kudhuriwa na simba.
Ukijifanya wewe uwezo wako kufikiri ni mdogo ukalazimisha kukaa ktk mazingira hayo ya kukatiza mbugani hutaweza kuiona kesho yako...
Tuachane na mchg nataka tujenge hoja kwenye hili.
Turudi kwa vichaa hivi ni kitu kipi ambacho huwa wanyama wanakitambua kwa mwanadamu aliye mzima/timamu na asiye timamu. .. Mana mazingira ya vichaa tunayafahamu yalivyo magumu.
Na vipi kuhusu hizi technics zingine za kujifanya kichaa kumbe upo kazini... Mtu wa namna hii mnyama hawezi kumtambua kweli?