Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
ikitokea kama inavyosemwa kweli nitaamini Ikulu yetu imeamia Frendcona pale magomeni kageraWengi wenu mnakumbuka jinsi Samuel Sitta alivyopigwa chini na Chama Cha Mapinduzi katika kiti cha uspika kwa kigezo kwamba "huu ni wakati wa wanawake", CCM wakaamua kumpa kiti cha uspika Bibi Makinda na kumtupilia mbali Sitta.
Kutokana kwamba Lowasa amekuwa akipita huku na kule akipiga kampeni zake za chini kwa chini ili apate uraisi 2015 wakati huo huo wapinzani wake karibia wote wanaona hawana uwezo wa kushindana nae wamekuwa wakiandaa mbinu mpya ya kumuandaa Bibi mwingine ambaye ni Asha Rose Migiro. Bibi huyo aliyewahi kufanya kazi na UN na kuonyesha uwezo mdogo katika utendaji na kuliabisha taifa hivi juzi ameteuliwa kuwa mbunge na raisi kama moja ya mkakati ya kumdhohofisha Lowasa.
Siku si nyingi naamini mbibi huyu atateuliwa kuwa waziri na atazidi kuzunguka nchini ili kujiongezea umaarufu na kujitambulisha zaid kwa wananchi wa vijijini.
Swali: je? mwanamke huyu na watu waliyo nyuma yake wataweza kushindana Lowasa?
Wengi wenu mnakumbuka jinsi Samuel Sitta alivyopigwa chini na Chama Cha Mapinduzi katika kiti cha uspika kwa kigezo kwamba "huu ni wakati wa wanawake", CCM wakaamua kumpa kiti cha uspika Bibi Makinda na kumtupilia mbali Sitta.

Ole wao na hila yao hiyo,nawaheshimu wanawake wote,iwe wale wenye akili timamu na wale wenye ugojwa wa akili kwani bila mama nahsi dunia isingekuwapo. Siheshimu ujinga wowote utakaofanywa na chama changu CCM kutuletea mambo ya CHADEMA kwa zengwe lolote dhidi ya matakwa ya wanachama walio wengi. Sera hiyo ikomee Liberia na Malawi,TANZANIA NI AMERICA YA AFRICA.
Wengi wenu mnakumbuka jinsi Samuel Sitta alivyopigwa chini na Chama Cha Mapinduzi katika kiti cha uspika kwa kigezo kwamba "huu ni wakati wa wanawake", CCM wakaamua kumpa kiti cha uspika Bibi Makinda na kumtupilia mbali Sitta.
Kutokana kwamba Lowasa amekuwa akipita huku na kule akipiga kampeni zake za chini kwa chini ili apate uraisi 2015 wakati huo huo wapinzani wake karibia wote wanaona hawana uwezo wa kushindana nae wamekuwa wakiandaa mbinu mpya ya kumuandaa Bibi mwingine ambaye ni Asha Rose Migiro. Bibi huyo aliyewahi kufanya kazi na UN na kuonyesha uwezo mdogo katika utendaji na kuliabisha taifa hivi juzi ameteuliwa kuwa mbunge na raisi kama moja ya mkakati ya kumdhohofisha Lowasa.
Siku si nyingi naamini mbibi huyu atateuliwa kuwa waziri na atazidi kuzunguka nchini ili kujiongezea umaarufu na kujitambulisha zaid kwa wananchi wa vijijini.
Swali: je? mwanamke huyu na watu waliyo nyuma yake wataweza kushindana Lowasa?
na ndo utakuwa mwisho wa CCM.
Lowasa sijui kawalisha nini hawa magamba mpaka hawaonei huruma nchi yao?
Najitambua nina u u me.Unajua ulichokiandika?Hujitambui!!!
Alivyomhonga mm yako.Wanasumbuliwa na virushwa vya kipumbafu tu.
wanasumbuliwa na virushwa vya kipumbafu tu.