Mchezo wa SITTA, atafanyiwa LOWASSA

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Wengi wenu mnakumbuka jinsi Samuel Sitta alivyopigwa chini na Chama Cha Mapinduzi katika kiti cha uspika kwa kigezo kwamba "huu ni wakati wa wanawake", CCM wakaamua kumpa kiti cha uspika Bibi Makinda na kumtupilia mbali Sitta.

Kutokana kwamba Lowasa amekuwa akipita huku na kule akipiga kampeni zake za chini kwa chini ili apate uraisi 2015 wakati huo huo wapinzani wake karibia wote wanaona hawana uwezo wa kushindana nae wamekuwa wakiandaa mbinu mpya ya kumuandaa Bibi mwingine ambaye ni Asha Rose Migiro. Bibi huyo aliyewahi kufanya kazi na UN na kuonyesha uwezo mdogo katika utendaji na kuliabisha taifa hivi juzi ameteuliwa kuwa mbunge na raisi kama moja ya mkakati ya kumdhohofisha Lowasa.

Siku si nyingi naamini mbibi huyu atateuliwa kuwa waziri na atazidi kuzunguka nchini ili kujiongezea umaarufu na kujitambulisha zaid kwa wananchi wa vijijini.

Swali: je? mwanamke huyu na watu waliyo nyuma yake wataweza kushindana Lowasa?
 
ikitokea kama inavyosemwa kweli nitaamini Ikulu yetu imeamia Frendcona pale magomeni kagera
 
Ole wao na hila yao hiyo,nawaheshimu wanawake wote,iwe wale wenye akili timamu na wale wenye ugojwa wa akili kwani bila mama nahsi dunia isingekuwapo. Siheshimu ujinga wowote utakaofanywa na chama changu CCM kutuletea mambo ya CHADEMA kwa zengwe lolote dhidi ya matakwa ya wanachama walio wengi. Sera hiyo ikomee Liberia na Malawi,TANZANIA NI AMERICA YA AFRICA.
 
Lowasa sijui kawalisha nini hawa magamba mpaka hawaonei huruma nchi yao?
 
Kwa viwango vya CCM LOWASA ATAONDOLEWA KWA UKASKAZINI WAKE AU UKRISTU WAKE HAKUNA LINGINE.
 
Ole wao na hila yao hiyo,nawaheshimu wanawake wote,iwe wale wenye akili timamu na wale wenye ugojwa wa akili kwani bila mama nahsi dunia isingekuwapo. Siheshimu ujinga wowote utakaofanywa na chama changu CCM kutuletea mambo ya CHADEMA kwa zengwe lolote dhidi ya matakwa ya wanachama walio wengi. Sera hiyo ikomee Liberia na Malawi,TANZANIA NI AMERICA YA AFRICA.

Unajua ulichokiandika?Hujitambui!!!
 
Watashindana nasi lakin hawatashinda,kama hamjui CCM ndo chama pekeee makin kilichopo bongo na wenyekiti wafata misingi mbali mbali,sa hv mwenyekiti lazma awe mkristu piga ua garagaza,Migiro asubur baada ya miaka kumi.ccm sio CDM achen ubwege nyie
Team El
 
Wengi wenu mnakumbuka jinsi Samuel Sitta alivyopigwa chini na Chama Cha Mapinduzi katika kiti cha uspika kwa kigezo kwamba "huu ni wakati wa wanawake", CCM wakaamua kumpa kiti cha uspika Bibi Makinda na kumtupilia mbali Sitta.

Kutokana kwamba Lowasa amekuwa akipita huku na kule akipiga kampeni zake za chini kwa chini ili apate uraisi 2015 wakati huo huo wapinzani wake karibia wote wanaona hawana uwezo wa kushindana nae wamekuwa wakiandaa mbinu mpya ya kumuandaa Bibi mwingine ambaye ni Asha Rose Migiro. Bibi huyo aliyewahi kufanya kazi na UN na kuonyesha uwezo mdogo katika utendaji na kuliabisha taifa hivi juzi ameteuliwa kuwa mbunge na raisi kama moja ya mkakati ya kumdhohofisha Lowasa.

Siku si nyingi naamini mbibi huyu atateuliwa kuwa waziri na atazidi kuzunguka nchini ili kujiongezea umaarufu na kujitambulisha zaid kwa wananchi wa vijijini.

Swali: je? mwanamke huyu na watu waliyo nyuma yake wataweza kushindana Lowasa?

na ndo utakuwa mwisho wa CCM.
 
Lowasa hawezekaniki hivi hivi weakness yake ni kuumwa kwake tu ambako nami kumeanza kuntia mashaka. Jamaa sijui ana parkinsons au nini?
Halafu hasemi, lakini ukimcheki na ukikaa nae unaona kabisa nguvu hamna na anakua anachoka kama katoka lima maekari.
Otherwise huyu jamaa mimi nitampigie debe mbaya 2015. Ni mwenye chongo kati ya vipofu!
 
mawazo yako lakini unachukulia kama kweli kitu hicho kipo. ptyuuuuuuu!
 
mamaaa!mama huyoo mamaa! mama huyooo! awamu hii ni zamu yetu wanawake, tumejaribu na tumeweza. ccm yoyote anayepinga ni mchawi. Lowassa ana nn nyie maburula.
 
Hayo nimawazo yako sidhani kama uko sahihi sana pengine unajaribu kuwa mtabili.
 
Ccm ni kama govi unazaliwa nalo lakini halina faida.watz tuliondoe vigo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom