Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,880
- 19,816
Kumbe sumu kwenye mahindi iliisha ile tarehe 17 Machi!??? Kweli hakuna mjomba atakayetoka Ulaya au wapi kuja kutujengea nchi yetu. Marafiki uwadhaniao wanaweza kuwa maadui wakubwa.
Wanashindwa kusema maana wakisema ni Tanzania kufungiwa kuhusika na mpira. Itakuwa ajabu hata kusoma mechi inahairishwa kwa sababu ya kitabu cha kisiasa.Hapo mwisho kama umesoma wamesema serikali ilikuwa na nia njema kusogeza muda wa mpira, Sasa sijui nia yao njema ambayo hawajaisema ni ipi kama inatambulika na kanuni na sheria za FIFA za serikali kutoingilia mambo ya TFF
Na nitashangaa Sana Kama Yanga watakubali kupeleka timu uwanjani,Fifa inasema serikali isijihusishe na mchezo wa soka.
Yanga andikeni barua.
Ndio mana Manara amewaita takataka. Minafiku. Yaan miandishi na michambuz yetu hovyooo kbsa. Na hii ni kwa kuwa elimu zao ni za chini mno. Ni div 4 na 0. Kama nadanganya hebu mtaje mwenye div ONE / TWO. O- level na A-level
Mpira wa bongo una visa.
Eti msimamizi wa soka na vilabu kwa ujumla haelewani na kilabu kimoja kiasi kwamba waziri anaitisha kikao.
Amtafute aliyempa hiyo tiketi ya kwanza.Huo mfumo ni rafiki kweli katika kuwarudishia watu tiket zao? Kuna wengine hata hawaelewi tiketi imepatikanaje amelipa amepewa tu
Sababu za kuahirisha mechi hakuna ? hivi wale wanao wawekaga watu mfukoni mwao bado wapo
Walikaguliwa na nani?Mechi inarudiwa vipi wakati sheria inaitaka TFF kuipatia Yanga SC pointi tatu maana walifika uwanjani muda wa mchezo na Simba SC hawakutokea. Yanga SC nitawashangaa wakicheza huu mchezo.
🤣🤣🤣....mpira sio wa kila mtu mzee, baki kwenye kada unayofit.Mechi inarudiwa vipi wakati sheria inaitaka TFF kuipatia Yanga SC pointi tatu maana walifika uwanjani muda wa mchezo na Simba SC hawakutokea. Yanga SC nitawashangaa wakicheza huu mchezo.
SERIKALI kuingilia maswala ya soka ni issue tofauti na hii, ht km serikali ingesimamisha ligi mpk mwakan still huko si kuingilia mwaswala ya soka ndio maana ni mara chzche sana utasikia nchi flan imefungiwa na FIFA kwa sababu ya serikali kuingilia maswala ya mpira, serikali nyingi tu zinaingilia mambo ya mashirikisho yao ya mpira lkn inakuwa ngumu kuprove kuwa ni kweli imeingilia so sio isse rahisi ivyoYaani serekali imeamua kuingilia masuala la soka kienyeji enyeji hivi? Ngoja nicharaze barua yangu fasta kwenda FIFA ili spana zifanye kazi.
At least 2 years suspension hakuna kushirik mashindano ya kimataifa!
UngejuaAmtafute aliyempa hiyo tiketi ya kwanza.
hii issue mbn haihusiani kabisa na Swala la serikali kuingilia mpira wazee, hapa utendaji binafsi wa TFF wala katiba yao haijaingiliwa na mtu yeyote kwa vyovyote vile, ingekuwa hvyo mbn nchi nyng zngekuwa znafungiwa na FIFA kila sikuMbona naona kama ndio wanazidi kujiharibia FIFA, baada ya hicho kikao na kukubaliana.. kwa nini wasingewaacha TFF ndio watoe tamko,.kuliko wao kama wizara tena wakisema kabisa ni kwa Maelekezo ya Waziri mkuu aliyoyatoa Bungeni.
hapo FIFA hawawezi kutuchulia hatua?? kwa serikali kuingilia mambo ya mpira na ushahidi sasa uko wazi kabisa.
au walikua wanataka sifa ili kuonekana wao ndio wamesolve.