Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

40,
Hii mechi imekua ya upande mmoja mno!!
Huu ni uonevu na ni dhambi mbele za mungu
 
60,
Dah, watu wanagongeana pasi kama Messi na Neymar??

Yaani watu wawili wanaishusha wao tu kwa point 20 nzima!!!!???

Huu ufisadi huu mods!!

Umeona ehh....uchakachuaji huu
 
jakito mbona unaturudisha nyumaaaa angalia namba vizuri
38
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapa ushindi kwa timu pinzani ni ndoto hehehe.....
 
Natumia jf mobile,
Sikuona tag yako Mkuu, mpaka nilivyoingia JF touch kuangalia notifications

Haya twende 42
 
Back
Top Bottom